Wednesday, July 6, 2011

Michezo ya pikipiki yashika kasi jijini Dar es salaam

Mwendesha Pikipiki, Adil Othuman, akionyesha uwezo wa kuitumia pikipiki ya matairi manee aina ya Quad Bike, wakati wa mazoezi ya waendesha pikipiki hao yaliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam.
Mwendesha Pikipiki wa Kambi ya Kinondoni, Ludan Volvo, akionyesha mbwembwe za kutembea na tairi moja wakati wachezaji wa mchezo huo walipokuwa katika mazoezi ya kawaida ya kujiweka fiti kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waendesha Pikipiki wakianza mwendo kwa pamoja wakati wakishindana katika mazoezi yao ya kujiweka fiti kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waendesha Pikipiki wakianza mwendo kwa pamoja wakati wakishindana katika mazoezi yao ya kujiweka fiti kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mwendesha Pikipiki, Adil Othuman, akionyesha uwezo wa kuitumia pikipiki ya matairi manee aina ya Quad Bike, wakati wa mazoezi ya waendesha pikipiki hao yaliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam.Picha na  Muhidin Sufiani

No comments: