Monday, June 13, 2011

Ziara ya Mama Hillary Clinton kwenye mtambo wa umeme wa Symbion Power

 Sehemu ya mtambo wa kufua umeme wa Symbion Power ulioko Ubungo jijini Dar
 Wadau wa MCC wakifurahia ziara hiyo
 Waziri wa Nishati na Madini wakipozi na wataalamu wazalendo wa Symbion na uongozi wa kampuni hiyo
 Balozi wetu Marekani Mama Mwanaidi Maajar akipozi na uongozi na wataalamu wa Symbion Power na Mh. Ngeleja
 Balozi Mwanaidi Maajar akiwa na mwanadada pekee katika sekta ya ufundi wa kampuni hiyo na uongozi wake
 Manadada akipewa pongezi zake
 Fundi mitambo akirekebisha mambo
 Mh. Ngeleja na viongozi wa Symbion wakiwa katika injini ya kufua umeme ya Symbion
 Mh Ngeleja akiwa na Mzee Mohamed Saleh na mwanahabari Fumbuka Ng'wanakilala wa Reuters
 Maafisa habari wa ubalozi wa Marekani nchini wakipiga stori na wanahabari wa hapa
 Wataalamu wazalendo wa Symbion Power wakifurahia ujio wa Mama Clinton
 Afisa uhusiano na miradi wa Symbion Julie Foster akiwaelekeza wanahabari nini cha kufanya
 Kabla ya kuingia eneo la tukio wanahabari wanajipanga ili kukaguliwa
 Kila chombo kinakaguliwa na mawakala wa siri wa kimarekani
 Mbwa wa wakala wa siri wa kimartekani akinusa kila mfuko uliokuwepo
 Mbwa akinusa kila kitu
Hapa hakuna cha ankal wala mjomba wake nani... wote ni foleni ya ukaguzi tu

No comments: