Monday, June 13, 2011

show ya hugh masekela ambayo haikuwa..

 Sauda akiwaeleza mama na baba yake Mzee Iddi Simba na Mama Simba maswahiba yaliyowakuta
 Show ilianza kwa Sauda kutumbuiza wakati Hugh Masekela akisubiriwa
 Sehemu ya umati
 Palikuwa hapatoshi
 Meneja wa Hugh Masekela akiwataka radhi wapenzi wa muziki kwamba Hugh Masekela hatotumbuiza. Shoto ni promota Heri Bomani akiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Stanbic bank waliodhamini show hiyo
 Mkurugenzi wa Masoko wa Stanbik bank Bw, Singano akiwataka radhi waliohudhuria
 Nyomi ilikuwa si ya kawaida
 Kila mtu alikuwa na hamu ya Hugh Masekela
 Mzee Iddi Simba na Mama Simba wakiwa na balozi wa zamani wa Marekani nchini Mh. Charles Stith (shoto)
 Mashabiki wakisubiri Hugh Masekela atokee
 Mashabiki walifurika
Sauda Simba akipasha moto kabla ya show ambayo haikuwa kuanza

No comments: