Kigogo:- Mzee Abdallah Nguzo akilipiwa fedha za mwezi mmoja, kwa mama lishe ili apate angalau mlo mmoja kwa siku.. Mzee Nguzo hana familia. |
Magomeni: Mzee Simba Maduwilo kwa sasa mlemavu wa miguu, na mkewe hali yake ya afya sio nzuri. wanaishi kwa kumtegemea binti yao anaejishughulisha na mama lishe. |
Tandika Kilalakala wakina mama waliokusanyika sehemu moja kupata misaaada. wengi wao wana ulemavu wa kutembea, hawana kipato na mmoja ana wajukuu wawili walioachwa na wazazi wao. |
Vijana wanao ishi na bibi yao, wanapokea nguo na vitabu. |
Bibi Mariam Jenga, ana ulemavu wa macho na kutembea kwa shida. Hali ngumu, anawatoto wawili wakike hawana kazi. |
Bw. Mohamed, mzee anaesumbuliwa na ugonjwa wa usongo wa mawazo, mkewe kapooza wanatunzwa na mtoto mmoja wa kike hana kazi maalum. hapo amelala anauguza jaraha alianguka na kuungua upande wa mngogo. |
Binti wa Mzee Mohamed akitoa maelezo na kusaini misaada aliyopokea |
Mbagala: Bi Saada Mohamed, mwenye watot wawili wakike, mmmoja mlemavu wa viungo na mmoja anamatatizo ya afya alipata kupooza. Wamepata misaada pamoja na mtaji wa gunia la sabuni yakufunga na kuuza rejareja. |
Naima Ally ni mama mdogo wa wasichana wa nne waliofiwa na wazazi wote wawili. wamepewa chakula, nguo na vitabu. |
Bi Naima akitaisini vitu alivyo pokea. |
Monday, June 27, 2011
TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION imetembelea wazee wanao ishi katika mazingira magumu na kutoa misaada mbali mbali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment