Sunday, March 13, 2011

semina ya bunge ya waandishi habari bagamoyo

Ankal na wadau wakingoja staftahi
Kila mtu yuko bize
wadau seminaniumakini katika katika kufutilia mada
wapiganaji
Semina inogile
Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania
Kajubi Mukajanga akimwaga mada

umakini
Maofisa waandamizi wa bunge seminani
Mtoa mada akiweka mambo sawa
Wapiganaji wakifuatilia semina
mada ikifuatiliwa kwa umakini
Mhariri wa habari wa Daily News Leonard
Mwakalebela akiuliza swali

Saeed Kubenea, Mhariri mtendaji wa Mwanahalisi, akiuliza swali

No comments: