Sunday, March 13, 2011

Bonanza la Media Sports Day lafana

Mgeni rasmi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt William Nchimbi akimkabidhi nahodha wa timu ya Mlimani Tv kombe la Ubingwa wa mpira wa Wavu katika tamasha la wanahabari lililoandaliwa na TASWA na kudhaminiwa na TBL Cine Club jijini Dar.Nahodha wa timu ya netiboli ya TBC One akipokea kombe la ubingwa

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Emmanuel Nchimbi akimvisha medali Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda akibebwa juu baada ya kushinda mbio za mita 100


Mpiganaji Athumani Hamisi (shoto) ambaye ni majeruhi alikuwepo pia
Twanga pepeta ikichengua wapiganaji
Waimbaji wa Twanga wakipepetua wapiganaji
Wanenguaji wa Twanga wakipepeta
Mshambuliaji hatari wa timu ya netiboli ya
Tanzania Daima Joseph Senga akifanya vitu vyake

Choggo Cheeeembaaaa...
Kama Mgosi vile
Mpira wa miguu
Hatari golini
Waharirir wakishindana mbio za mita 100
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima Absalom Kibanda akibebwa juu baada ya kushinda mbio za mita 100 zilizowashirikisha wahariri katika tamasha la Waandishi wa Habari lililofanyika jana kwenye ufukwe wa bahari ya hindi na kudhaminiwa na Bia ya Safari Lager

No comments: