Friday, February 11, 2011

SIKU YA PILI YA TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA,NGOME KONGWE ZANZIBAR

Mlimani Park Orchestra wakifanya mambo yao katika tamasha la Sauti za Busara linaloendelea katika viwanja vya Ngome Kongwe,Zanzibar.
Bendi ya Orchestra Poly Rythmo De Cotonou kutoka nchini Benin ikitumbuiza katika tamasha la Sauti Za Busara,Ngome Kongwe Zanzibar usiku wa kuamkia leo.
Bendi ya Groove LeLe kutoka katika visiwa vya Reunion ikifanya mambo yake.
Ngoma ya Asili ya Kizanzibar inayofahamika kwa jina la Sitaki Chuki Kidumbak chini ya Mzee Makame Faki Sauti ya Zege iliburudisha vivyo ndani ya Ngome Kongwe usiku wa kuamkia leo.

No comments: