Seif Kassim Kisauji akitumbuiza na kundi
lake la The Babloom Trio Band
Asia akiwashukuru mamodo na wabunifu
kwa kufanikisha shughuli yake
Khadija Manamboka akionesha
ubunifu wake wa mashati ya kiume
Fide 'Lady Gaga' Ilanga ndiye aliyekuwa
mratibu wa mamodo backstage

Bw. Khamsin na Asia wakitambulishwa jukwaani

Da'Kabula ambaye ni meneja wa kilaji cha Redds (pili kulia) akiwakilisha kama mdhamini mkuu

Manju Msitta anatisha

Ally Rhentullah akitoka kujitambulisha na modo wake

Mamodo nyota wote walikuwepo

Mamodo waliofanikisha shoo hii kabambe

Baby Madaha akifanya vitu vyake

Simba Theatre Troube walikuwapo kutumbuiza

Bw. Khamsini akipozi na mdau

Mama wa Mitndi Asia Idarous Khamsin akiwa na mai hazbendi wake aliyetinga ze fulanazzzz ya globu ya jamii

Mwenyekiti wa Fabak Fashion Bw. Khamsini akiwa na mbunifu mpya Tahir Othman

Si nguo tu zilizooneshwa. hata sandozz

meza maalumu ya Globu ya Jamii...

Wadau wa ndani na nje ya nchi walihudhuria na kufurahia

palifunga....

Si mchezo

wadau wakiwa wametulia tuliiiiii....

Vicheko vya furaha kila kona

Lady in Red kumekucha

wadau wakifurahia Lady in Red 2011

Lady in Red mwaka huu kiboko

wadau toka kila kona walikuwapo

palikuwa hapatoshi

Globu ya Jamii ilikuwa ni mmoja ya masponsa
Mbunifu anayekuja juu kwa kasi Rahma W. Mbarouk wa Asamahan Fashions akiwa na mai hazbendi wake
Wadau wa Star Times walikuwapo pia

Wadau walihudhuria kwa wingi
1 comment:
ankal hakika shughuli ni watu na watu wenyewe ndio sisi wadau wa StarTimes
Post a Comment