Sunday, February 6, 2011

hala na anitha wameremeta

Love in the air.... Halahala na Anitha. Picha zingine zote zinajieleza. Walimeremeta Coral Beach hotel na mnuso ulikuwa Diamond Jubilee hall. Ikumbukwe Hala ni mmoja wa lebo ya 'Wakawaka'











div>
div>
div>
div>
div>div>

4 comments:

Anonymous said...

haruc imependezaaaaaaa,bi haruc mremboooooojaman..lakin ingenoga zaidiiii kama ingekuwa imefungwa KANISANI..ni mtazamo wangu tu ..

Anita ricky said...

waooo.Anitha mlipendeza jamani.. so niiice. Mungu awajaalie muishi kwa upendo na amani tele. May your house be full of joy and beautiful kids.

Anonymous said...

nataka kujua hi harusi ilikuwa ya bomani ama? imenivutia kma ni bomani kwani hata mimi natarajia kufunga mdoa bomani nachua examples za watu wengine kama hao

Anonymous said...

mmependddeza sanaaaa mungu awajalie.