Tuesday, July 5, 2016

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI DKT. JULIANA PALLANGYO ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA

 Mtaalam kutoka Idara ya Nishati, Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Marwa Petro (kushoto) akielezea majukumu ya Wizara mbele ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (wa pili kutoka kulia, mbele) mara Naibu Katibu Mkuu alipotembelea banda la Wizara kwenye Maonesho ya  Kimataifa ya  Sabasaba yanayoendelea katika  viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini  Dar es Salaam.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo, (kushoto) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye banda la Wizara ya Nishati na Madini. Kulia ni  Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano  Serikalini wa Wizara, Asteria Muhozya.
 Mtaalam kutoka Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) Mhandisi Musa Chowo (kushoto) akieleza gridi ya Taifa inavyofanya kazi kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo ( wa pili kutoka kushoto)
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (kushoto) akisalimiana na Afisa Mahusiano wa Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Nchini (TGDC), Rose Kundecha (kulia) mara baada ya kuwasili katika banda hilo.
 Mtaalam kutoka Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Mhandisi Uchenjuaji Madini, Priscus Kaspana (kulia) akielezea shughuli za wakala huo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo ( wa kwanza kushoto)
 Mtaalam kutoka  Wakala wa Ukaguzi wa Madini Nchini (TMAA) Mhandisi Yisambi Shiwa (kulia) akieleza jinsi  shughuli za ukaguzi wa madini zinavyofanyika nchini kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo ( wa kwanza kushoto) mara alipotembelea banda la TMAA.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (kushoto) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika banda la  Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (wa kwanza kulia) akisalimiana na sehemu ya washiriki (kushoto)kutoka katika mgodi wa STAMIGOLD unaomilikiwa na Shirika la Madini la  Taifa (STAMICO)
 Washiriki kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakionesha jinsi  shughuli ya uokozi inavyofanyika pindi panapotokea ajali mgodini.
 Washiriki kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakionesha jinsi  shughuli ya uokozi inavyofanyika pindi panapotokea ajali mgodini.
 Washiriki kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakionesha jinsi  shughuli ya uokozi inavyofanyika pindi panapotokea ajali mgodini.
 Afisa Uhusiano  wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Neema Mbuja (kushoto) akielezea shughuli zinazofanywa na Kitengo cha Dharura cha shirika  hilo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (kulia)
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (katikati) akioneshwa jinsi majiko yanayotumia nishati mbadala  yanavyofanya kazi na Afisa Masoko kutoka  Kampuni ya Envotec Services Limited Salama Sudi (kulia) ambao ni mdau wa Wakala wa Nishati  Vijijini (REA)
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (kushoto) akisalimiana na washiriki  wa maonesho kutoka  Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) mara baada ya kuwasili katika  banda lake.
 Mtaalam  kutoka Idara ya Utawala, Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) Sophia  Damalu (kulia) akielezea muundo na majukumu ya shirika hilo  kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (kushoto)
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (kushoto) akibadilishana mawazo na washiriki katika banda la Ujerumani mara alipotembelea banda hilo.
 Mtaalam kutoka kampuni ya Sunset Solar kutoka Ujerumani Dkt. Olaf Fleck (kulia) akisisitiza jambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (kushoto) aliyetembelea banda  hilo.
 Mtaalam kutoka kampuni ya Mobisol, Henrik Axelsson (kushoto) akielezea shughuli zinazofanywa na kampuni hiyo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (katikati)
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo ( wa pili kutoka kulia mbele) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kampuni ya Mobisol kutoka Ujerumani mara baada ya kutembelea banda hilo.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo (kushoto) akisalimiana na msimamizi wa banda la Ujerumani  Gunther Endres (kulia) mara baada ya kuwasili katika banda hilo.
Mtaalam kutoka Idara ya Nishati, Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Marwa Petro (kushoto) akitoa maelezo kwa  Mtendaji Mkuu kutoka  Wakala wa Ukaguzi wa Madini Nchini (TMAA) Mhandisi Dominic  Rwekaza (kulia) mara alipotembelea banda hilo.

No comments: