Saturday, February 13, 2016

MASHINDANO YA NGUMI YA TAIFA YAFANYIKA TANGANYIKA PACKERS

Rais wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT Mutta Rwakatare katikati akimkabidhi Kocha wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' mchango uliotolewa na wadau mbalimbali kwa ajili ya rambirambi ya kifo cha marehemu Mohamed Chibumbuli kilichotokea jana Mkoa wa Mtwara Wilaya ya Masasi. kushoto ni katibu Mkuu wa shirikisho hilo Makole Mashaga.
Bondia Selemani Kidunda kushoto akimshambulia Mustafa Mtoro wakati wa mashindano ya taifa yaliyofanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam. Kidunda alishinda kwa K.O ya raundi ya kwanza.

Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto akipambana na Mtangazaji wa Radio TIMES FM, KHADIJA SHAIBU "DIDA' wakati wa mashindano ya taifa ambapo wao walioneshana umwamba

Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto  na MTANGAZAJI WA TIMES FM,KHADIJA SHAIBU "DIDA' wakinyoshwa mikono juu baada ya mpambano wao wakati wa mashindano ya taifa ambapo wao walionesha umwamba
Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto  na MTANGAZAJI WA TIMES FM,KHADIJA SHAIBU "DIDA'
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis akimvisha medali ya dhahabu bondia Leonard Machichi wakati wa mashindano ya taifa
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis akimvisha medali ya dhahabu bondia Zulfa Macho. kulia ni bondia Halima Ramadhani wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ndondi Tanzania (BFT), Makore Mashaga
Bondia Ismail Gaitano kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mwarami Salum wakati wa mashindano ya taifa yaliyonyika katika viwanja vya Tanganyika Packers, jijini Dar. Gaitano alishinda mpambano uho. Picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments: