Tuesday, August 13, 2013

RAIS SHEIN WA ZANZIBAR AFUNGUA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA MAHAKIMU NA MAJIJI AFRIKA MASHARIKI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria Abubakary Khamis Bakari,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja,kufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,wengine (katikati) Jaji Mkuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mohamed Chande Othman,na Jaji Mkuu Zanzibar Omar Othman Makungu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Jaji Mkuu Kiongozi Fakih Jandu,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja,kufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,mara alipowasili katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja,kufungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) ulioanza leo katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja.
Rais wa Jumuiya ya (ZAJOA) Zanzibar Jaji Abraham Mwampashi,akitoa hutuba wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) unaoendelea kwa siku tatu katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel,iliyopo nje ya Mji wa Unguja.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akiufungua Mkutano huo wa siku tanu leo katika Ukumbi wa Hoteliya Zanzibar Beach Resort iliyopo nje ya Mji wa Unguja.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akiufungua Mkutano huo wa siku tanu leo katika Ukumbi wa Hoteliya Zanzibar Beach Resort iliyopo nje ya Mji wa Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) pamoja na Majaji wa Nchi za Afrika Mshariki, wakisimama wakati wimbo wa Taifa wa Nchi hizo ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa mwaka kwa Nchi hizo,ambao utakchukua siku tatu katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel,iliyopo nje ya Mji wa Unguja.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) wakisimama wakati wimbo wa Taifa wa Nchi hizo ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa mwaka kwa Nchi hizo,ambao utakchukua siku tatu katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel,iliyopo nje ya Mji wa Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments: