Friday, August 23, 2013

Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Wapya

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Jumatano tarehe 21 Agosti 2013 jioni alitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Wapya katika Press Conference iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mawasiliano.
Ifuatayo ni orodha kamili ya majina na vituo vya kazi vya Makatibu Wakuu Wapya na Manaibu Katibu Wakuu, pamoja na waliohamishwa. 

ORODHA YA MAKATIBU WAKUU WAPYA NA WANAOHAMA
S/NA.
JINA
JINSIA
ELIMU
CHEO CHA SASA
WIZARA ALIYOPANGIWA
1.       
Dkt. Florens M. Turuka
ME
BSc (Agr)
MSc (Agr Econ)
PhD (Agr Econ)
Katibu Mkuu
Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Ofisi ya Waziri Mkuu
2.       
Bibi Joyce K. G. Mapunjo
KE
B.A. (Econ)
M.A. (Econ)
Katibu Mkuu
Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika mashariki
3.       
Bw. Jumanne A. Sagini
ME
B. A. (Ed)
M.A. (Ed)
Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu
TAMISEMI
Ofisi ya Waziri Mkuu
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
4.       
Dkt. Servacius B. Likwelile
ME
B.A. (Econ)
M.A. (Econ)
PhD (Econ)
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
Wizara ya Fedha
5.       
Dkt. Patrick S. Makungu
ME
BSC (Mech Eng)
MSc (Agr Eng)
PhD (Agr Eng)
Naibu Katibu Mkuu
Wizara ya Mawasiliano,
Sayansi na Teknolojia
Wizara ya Mawasiliano,
Sayansi na Teknolojia
6.       
Bw. Alphayo J. Kidata
ME
MSc (Econ & Finance)
MSc (Computer Appl)
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
7.       
Dkt. Shaaban R. Mwinjaka
ME
BSc (Agr)
MSC (Farm Systems)
PhD (Agr Econ)
Naibu Katibu Mkuu
Wizara ya Viwanda,
Biashara na Masoko
Wizara ya Uchukuzi
8.       
Bw. Uledi A. Mussa
ME
B.A. (Econ)
PGD (Econ)
Naibu Katibu Mkuu
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko
9.       
Prof. Sifuni E. Mchome
ME
LLB
LLM
PhD
Katibu Mtendaji
Tanzania Commission of Universities
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
10.   
Bw. Charles A. Pallangyo
ME
B.A. (Econ)
M.A. (Econ)
Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu
Afya na Ustawi wa Jamii
11.   
Bibi Anna T. Maembe
KE
BSc (Botany)
MSc (Ecology)
Naibu Katibu Mkuu
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
12.   
Bibi Sihaba S. Nkinga
KE
Msc (Transport)
Naibu Katibu Mkuu
Wuizara ya Habari, Vijana na Utamaduni
Wizara ya Habari, Vijana na Utamaduni
13.   
Bibi Sophia E. Kaduma
KE
BSc (Agr)
MSc (Proj Plan)
Naibu Katibu Mkuu
Wizara ya Kilimo,
Chakula na Ushirika
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika
  
UHAMISHO MWINGINE
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Peniel M. Lyimo anahamia Ofisi ya Rais, IKULU, kwenye President’s Delivery Bureau, kama Naibu Mtendaji Mkuu mwenye jukumu la kuanzisha na kuongoza Idara ya Mageuzi ya Kilimo.

WATAKAOPANGIWA KAZI NYINGINE
Makatibu Wakuu wafuatao watapangiwa kazi nyingine:
1.      Bw. Sethi Kamuhanda, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
2.      Bibi Kijakazi Mtengwa, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.
3.      Eng. Omari Chambo, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uchukuzi.

WANAOSTAAFU

Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bw. Patrick Rutabanzibwa, anastaafu kwa hiari.

UTEUZI WA NAIBU MAKATIBU WAKUU WAPYA NA UHAMISHO WA BAADHI YAO
1.      Bibi Angelina Madete, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira.
2.      Bibi Regina L. Kikuli, Ofisi ya Waziri Mkuu.
3.      Bw. Zuberi M. Samataba, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu).
4.      Bw. Edwin K. Kiliba, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
5.      Bw. Deodatua Mtasiwa, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya).
6.      Dkt. Yamungu Kayandabila, Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika.
7.      Prof. Adolf F. Mkenda, Wizara ya Fedha (Sera).
8.      Bibi Dorothy S. Mwanyika, Wizara ya Fedha (Fedha za Nje na Madeni)
9.      Bibi Rose M. Shelukindo, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
10.  Dkt. Selassie D. Mayunga, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
11.  Bibi Monica L. Mwamunyange, Wizara ya Uchukuzi.
12.  Bibi Consolata P.M. Mgimba, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
13.  Prof. Elisante ole Gabriel Laizer, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
14.  Bw. Armantius C. Msole, Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

 UHAMISHO
1.      Bw. John T. J. Mngodo anatoka Wizara ya Uchukuzi kwenda Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.
2.      Bw. Selestine Gesimba anatoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwenda Wizara ya Maliasili na Utalii.
3.      Eng.Ngosi C. X. Mwihava anatoka Ofisi ya Makamu wa Rais na kuhamia Wizara ya Nishati na Madini.
4.      Bibi Maria H. Bilia anatoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na kuhamia Wizara ya Viwanda na Biashara.
5.      Bibi Nuru H. M. Milao anatoka Wizara ya Maliasili na Utalii na kuhamia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.





No comments: