Tuesday, September 25, 2012

mahafali ya 10 ya Barbra Johansson Model Girl's Secondary School

 Spika Anne Makinda, mgeni rasmi katika mahafali ya kumi ya Barbra Johansson Model Girl's Secondary School, akinadi moja ya picha za kuchora kadhaa zilizonadiwa kutunisha mfuko wa shule hiyo leo. Mahafali hayo kumi ya kidato cha nne na sita, pia yalisherehekea miaka 100 ya mfadhili mkuu wa shule hiyo Mama Barbra Johansson pamoja na miaka 12 ya shule hiyo. Jumla ya shilingi milioni 90 zilipatikana katika mnada huo pamoja na michango mingine
 Sehemu ya wahitimu wa kidato cha Sita
 Wahitimu wa kidato cha sita
 Wazazi walijumuika na watoto wao katika picnic baada ya mahafali
 Furaha kila kona
 Mamou (kulia) na rafikiye kipenzi Sabrina wakifurahia baada ya kuhitimu kidato cha sita shuleni hapo
 Mama Ankal akitoa kadi za pongezi kwa wahitimu Sabrina na mamou
 Familia ya Sabrina na Mamou katika picha ya pamoja
 Ankal akiwa na binti wake Mamou na Zahara ambaye yuko mwaka wa tatu UDOM akisomea uchumi
 Keki ya Mamou
 Keki ya Sabrina ilikuwa dabo sababu alikuwa anasherehekea pia hepi besdei yake
 Familia za Mamou na Sabrina katika mlo wa picnic ya mahafali
 Wadau wakifurahia kuhitimu kwa binti yao
 Mdau wa NBC na familia yake wakifurahia kuhitimu kwa binti yao
 Wadau wakisherehekea
 Picnic inogile
 Sabrina akilata keki yake ya hepi besdei ya kuzaliwa kwake
 Ankal na bintiye Mamou aliyehitimu kidato cha sita shuleni hapo
 Mamou akihojiwa na Mlimani TV
 Spika Anne Makinda akiwa na mmiliki wa shule hiyo Profesa Tibaijuka na Mkuu wa shule baada ya kuzindua jengo jipya la kantini
 Wageni wakitembelea shule
 Spika Anne Makinda akijaribu moja ya meza mpya kwenye kantini aliyozindua
Muonekano wa kantini mpya ya shule hiyo 

No comments: