Sunday, June 10, 2012

IRINGA WAMLILIA MOSES HANS POPE WENGI WAJITOKEZA KUMZIKA


Ndugu wa marehemu Moses Has Pope wakiwa katika picha ya pamoja baada ya shuguli ya mazishi katika makaburi ya Mkanyageni, Iringa
Pacha wa marehemu, Aldo Hans Pope, na mkewe wakiweka shada la maua kaburini
Mke wa marehemu Stella pamoja na watoto wakiweka shada la maua katika kaburi.
Mjomba wa marehemu



Baadhi ya ndugu wa karibu waliohudhuria katika shughuli ya maziko
Mjomba wa marehemu akiwa ameambatana na mama wa marehemu moses wakielekea makaburini mkanyageni Manispaa ya Iringa.


Ndugu wa  marehemu

Pacha wa marehemu, Bw Aldo Hans Pope,  akishiriki komnio


2 comments:

Anonymous said...

Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie. Apumzike kwa amani amina

paul said...

pumzika kwa amani ndugu yetu moses,tutakukumbuka sana,tulikupenda lakini mungu amekupenda zaidi,amin,