Monday, October 31, 2016

Kampuni ya Bayport yasherehekea miaka 10 ya kuanzishwa kwake pamoja na watoto wa KCVC



Mgeni rasmi, Mke wa Rais Mstaafu Mama Anna Mkapa, akiongea na wafanyakazi wa Bayport, waandishi wa habari na walimu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Kibaha Children Village Center (KCVC), wakati wakusherehekea miaka 10 ya Bayport ambayo ilifanyika katika kituo hicho juzi, Kibaha mkoani Pwani.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bayport, John Mbaga, akiongea na wafanyakaziwa Bayport, waandishi wa habari na walimuwakituo cha kuleleawatotoyatima cha Kibaha Children Village Center (KCVC), wakati wakusherehekeamiaka 10 ya Bayport ambayoilifanyikakatikakituohichojuzi, KibahamkoaniPwani.

Baadhi ya wafanyakazi wa Bayport Tanzania wakiwa valisha fulana watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Kibaha Children Village Center, wakati wafanyakazi hao walipokwenda kusherehekea miaka 10 ya kampuni hiyo

Wafanyakazi wa Bayport wakipiga picha ya pamoja kwenye bango lao

Watoto wakibembea wakati wa kusherehekea miaka 10 ya Bayport Tanzania

Watoto wakiwa wanakula pamoja kusherehekea miaka 10 ya Bayport Tanzania








Wafanyakazi wa bayport wakiwa katika picha ya pamoja naviongozi, watoto yatimanawatotowawafanyakaziwa Bayport Tanzania, wakati wa kusherehekea miaka 10 ya Bayport ambayo ilifanyika katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Kibaha Children Village Center (KCVC), wengine pichani (Kuliakwa Mama Mkapa) ni MkurugenziMtendajiwa Bayport John Mbaga na Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano NgulaCheyo.

Kampuni ya Bayport yasherehekea miaka 10 ya kuanzishwa kwake pamoja na watoto wa KCVC

Mgeni rasmi, Mke wa Rais Mstaafu Mama Anna Mkapa, akiongea na wafanyakazi  wa Bayport, waandishi  wa  habari   na  walimu  wa  kituo cha kulelea   watoto   yatima  cha Kibaha Children Village Center (KCVC), wakati  wakusherehekea    miaka 10 ya Bayport ambayo   ilifanyika  katika  kituo  hicho   juzi, Kibaha  mkoani      Pwani.

Mkurugenzi Mtendaji   wa Bayport, John Mbaga, akiongea  na  wafanyakaziwa Bayport, waandishi  wa habari na walimuwakituo cha kuleleawatotoyatima  cha Kibaha Children Village Center (KCVC), wakati wakusherehekeamiaka 10 ya Bayport ambayo ilifanyika katika kituohicho juzi Kibaha mkoaniPwani.

Baadhi ya  wafanyakazi    wa Bayport Tanzania wakiwa   valishafulanawatotoyatimawanaolelewakatikakituo cha kulelea  Watoto Yatima cha Kibaha Children Village Center, wakati  wafanyakazi   hao   walipokwenda   kusherehekamiaka 10 ya kampuni   hiyo

Wafanyakazi   wa Bayport wakipiga   picha  ya   pamoja   kwenye   bango  lao

Watoto wakibembea   wakati  wa   kusherehekea   miaka 10 ya Bayport Tanzania

Watoto   wakiwa   wanakula   pamoja   kusherehekea    miaka 10 ya Bayport Tanzania










Wafanyakazi   wa  bayport  wakiwa  katika  picha  ya  pamoja  naviongozi, watoto  yatimanawatotowawafanyakaziwa Bayport Tanzania, wakati  wa  kusherehekea   miaka 10 ya Bayport ambayo   ilifanyika   katika    kituo cha kulelea   watoto  yatima cha Kibaha Children Village Center (KCVC), wengine  pichani (Kuliakwa Mama Mkapa) ni   MkurugenziMtendajiwa Bayport John Mbagana  Mkuu  wa   kitengo cha Masoko   na Mawasiliano  NgulaCheyo.

Olive Kiarie, mshiriki kutoka Kenya aibuka mshindi wa Maisha Plus East Africa 2016 na kujishindia kitita cha Tshs. Milioni 30

Winner “Kwanza napenda kumshukuru Mungu. Nimetoka Kenya kuja kutafuta hii pesa na nimeipata, hivyo namshukuru Mungu. Nawashukuru mabeste wangu wote, na wote walionipa sapoti. Asante pia Babu.” Alisema Olive huku akitoka machozi baada ya kutangazwa mshindi. 880A9842 Hii ni mara ya kwanza kwa taji hilo kwenda nje ya Tanzania ikiwa ni msimu wa tano toka mashindano haya yaanze mwaka 2009. Olive anakua msichana wa pili kujishindia taji hilo baada ya Bernick Kimiro aliyeshinda mwaka 2012.
Shindano la Maisha Plus lilijumuisha washiriki 30 kutoka nchi tano za Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda ambapo washiriki 16 tu ndio waliofanikiwa kuingia fainali. 880A0015 880A0011 880A0009 880A0005 
 Washiriki Aloyce Sambuta, Irene Ishengoma, Alex Essau, Ngenda Pilly, Nibigira Baswari, Grace Pemba, Denaice Machocho, Umubyeyi Solange, Assimwe Marvin, Salmin Omary, Rukia Athuman, Mike Curtywer, Yasinta Mrisho, Karekezi Jean na Namita Cherrie walifanikiwa kuingia fainali ambazo zilirushwa jana usiku na kituo cha televisheni cha Azam Two.Washiriki walioingia Top 5 ya Maisha Plus Washiriki walioingia Top 5 ya Maisha Plus kutoka kushoto: Aloyce Sambuta, Alex Essau, Olive Kiarie, Irene Ishengoma na Ngenda Pilly.[/caption] Katika hatua nyingine washiriki wanne walipewa tuzo. Aloyce Sambuta alipata tuzo ya Rais bora na kupewa jumla ya Tshs.Laki nne, Ngenda Pili alipata tuzo ya mshiriki mwenye heshima kubwa, Mike Cutywer alipaza tuzo ya mshiriki mdogo wa kiume wakati Namita Cherrie alipata tuzo ya mshiriki mdogo wa kike.Top 3 ya Maisha Plus kutoka kushoto: Aloyce Sambuta, Olive Kiarie na Irene Ishengoma Top 3 ya Maisha Plus Aloyce Sambuta, Olive Kiarie na Irene Ishongoma[/caption] Wasanii Ommy Dimpoz na Joh Makini walitoa burudani wakati wa fainali hizo. 880A9978 880A0043 880A0055   880A0125 880A0127 880A0129 880A0130 880A0132 880A0134 880A0166 880A0169 880A0172 880A0184 880A0210