Monday, October 31, 2016

Kampuni ya Bayport yasherehekea miaka 10 ya kuanzishwa kwake pamoja na watoto wa KCVC

Mgeni rasmi, Mke wa Rais Mstaafu Mama Anna Mkapa, akiongea na wafanyakazi  wa Bayport, waandishi  wa  habari   na  walimu  wa  kituo cha kulelea   watoto   yatima  cha Kibaha Children Village Center (KCVC), wakati  wakusherehekea    miaka 10 ya Bayport ambayo   ilifanyika  katika  kituo  hicho   juzi, Kibaha  mkoani      Pwani.

Mkurugenzi Mtendaji   wa Bayport, John Mbaga, akiongea  na  wafanyakaziwa Bayport, waandishi  wa habari na walimuwakituo cha kuleleawatotoyatima  cha Kibaha Children Village Center (KCVC), wakati wakusherehekeamiaka 10 ya Bayport ambayo ilifanyika katika kituohicho juzi Kibaha mkoaniPwani.

Baadhi ya  wafanyakazi    wa Bayport Tanzania wakiwa   valishafulanawatotoyatimawanaolelewakatikakituo cha kulelea  Watoto Yatima cha Kibaha Children Village Center, wakati  wafanyakazi   hao   walipokwenda   kusherehekamiaka 10 ya kampuni   hiyo

Wafanyakazi   wa Bayport wakipiga   picha  ya   pamoja   kwenye   bango  lao

Watoto wakibembea   wakati  wa   kusherehekea   miaka 10 ya Bayport Tanzania

Watoto   wakiwa   wanakula   pamoja   kusherehekea    miaka 10 ya Bayport Tanzania


Wafanyakazi   wa  bayport  wakiwa  katika  picha  ya  pamoja  naviongozi, watoto  yatimanawatotowawafanyakaziwa Bayport Tanzania, wakati  wa  kusherehekea   miaka 10 ya Bayport ambayo   ilifanyika   katika    kituo cha kulelea   watoto  yatima cha Kibaha Children Village Center (KCVC), wengine  pichani (Kuliakwa Mama Mkapa) ni   MkurugenziMtendajiwa Bayport John Mbagana  Mkuu  wa   kitengo cha Masoko   na Mawasiliano  NgulaCheyo.

No comments: