Friday, December 6, 2013

1.4 TO 1.6 MILLION LIVING WITH HIV/AIDS IN TANZANIA –THMIS REPORT

IMG_3588
Ag. UN Resident Coordinator, Dr. Jama Gulaid, speaks to his fellow UN staff members during a function to Commemorate  the World Aids Day at Karimjee hall in Dar es Salaam.

THE Latest Tanzania HIV and Malaria indicator Survey (THMIS) 2011 to 2012 interviewed 10,967 female and 8,352 male age group between 15-49 shows that there are 1.4 million to 1.6 million people living with HIV in the country.
Speaking during the Commemoration of World Aids Day held at the Karimjee hall in Dar es salaam, Acting UN Resident Coordinator Mr. Jama Gulaid said that HIV prevalence is 5.1 percent and the occurrence is higher among women than men is estimated between 6.2 percent versus 3.8 percent
“HIV prevalence among young women is higher than among young men – particularly for youth age 23- 29 where women are three times more likely to be infected than men,” he said.
He added that high vulnerability of young women to contract HIV would require an additional individual and national effort, to ensure that associated structural factors are addressed.
Gulaid said that it is also critical to have a comprehensive sexual reproductive education in the communities and it’s vital that each and every one should discuss about HIV/Aids with their children.
“As we are all aware, World AIDS Day is celebrated on the 1st of December every year for the purpose of raising awareness about HIV and AIDS and to demonstrate International Solidarity to respond to this global pandemic,” he added.
IMG_3658
UNAIDS Country Director, Patrick Brenny gives his opening remarks during the Commemoration of the World Aids Day at Karimjee hall in Dar es Salaam.
He noted that the global theme for World AIDS Day from 2011-2015, as selected by the World AIDS Campaign is ‘Getting to Zero’ and the campaign focuses on Zero New Infections, Zero Stigma and Discrimination and as a result Zero AIDS related deaths.
Gulaid underscored that the reports from Joint United Nations Program on HIV/AIDS (UNAIDS) as of 2012 shows that remarkable progress has been made over the last decade, yet significant challenges remain. As of 2012.
He went on to say that globally there are 35.3 million people living with HIV while there are new 2.3 million HIV infections and among those, there 960,000 new HIV infections that prevail among women aged 15 and above and 260,000 new HIV infections among children below the age of 5.
“28.6million PLHIV are in need of treatment, however only 9.7million (34 percent ) PLHIV are accessing HIV treatment; 1.25 million Children in need of HIV treatment did not have access; There are 1.6million AIDS related deaths, Furthermore reports inform that 2 million adolescents (10 to 19 years) are living with HIV,” he clarified .
IMG_3632
Beatrice Mkiramweni from the UN Resident Coordinator's Office shares her experience on HIV/AIDS to her fellow colleagues.
According to him that the report further informs that there are 86,000 estimated new HIV infections annually (between age 15-49years).
He explained further that the use of Condom is very low. Only 27 percent of the interviewees were conversant on the importance of consistent use of both female and male condoms, however only 8.3 percent reported using of condoms.
“I wish to emphasize here, that, in order to achieve the ‘Getting to Zeroes’, it is important to practice a “Shared Responsibility” as each one of us has a role to play in order to achieve “AIDS-Free Generation.” He noted.
Gulaid noted that today more than 30 years with HIV/Aids epidemic, the world should stop the epidemic to continue to kill thousands of young boys and girls around the globe.
IMG_3585 IMG_3581 DSC_0377 DSC_0416 IMG_3648
Dialogue session...“Achieving Zero Stigma & Discrimination” .
IMG_3616 DSC_0342
UN Operations Adviser, Mr George Otoo (left) in a tête-à-tête with Ag. UN Resident Coordinator, Dr. Jama Gulaid during the event.
DSC_0318
Great to meet you.....UN Communications Analyst, Hoyce Temu (left).
DSC_0328
Mjomba Band Entertaining UN Staff with a special message.
IMG_3683
DSC_0371
Enjoying the Entertainment.

Thursday, December 5, 2013

ZIARA YA KINANA NA UJUMBE WAKE JIJINI MBEYA

2Msafara ukielekea kwenye mkutano 4Vijana wa Mwanjelwa  wakiuzuia msafara wa Kinana wakati alipokuwa akielekea uwanja wa Luanda Nzovwe kwenye mkutano jambo lililofanya Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye watembeee kwa mguu 7Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye wakitembea kwa miguu katika eneo la Mwanjelwa huku vijana wakiwashangilia 8Abdulrahman Kinana akiwa katika bajaji iliyomchukua 9Nape Nnauye akiwa katika Bajaji iliyombeba 10Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi wakiwapungia mikono wananchi wakati wakielekea kwenye mkutano. 13Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Mbunge wa kuteuliwa akizungumza na wananchi katika mkutano huo. 14Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wakiwa katika meza kuu. 17 waliohudhuria katika mkutano huo. 18Kada wa CCM aliyejiunga na CCM hivi karibuni akitoka CHADEMA Braison Mwasimba akiunguruma katika mkutano huo 19Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye  akimwaga sumu katika mkutano huo. 20Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye  akiwaimbisha wananchi  katika mkutano huo. 22Msanii wa muziki wa kizazi Kipya Michael Senka mashairi jukwaani wakati mkutano huo ukiendelea leo jioni. 24 
Picha na John Bukuku

Tuesday, December 3, 2013

RAIS KIKWETE AWA MGENI RASMI SHEREHE YA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU DUNIANI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi alama mpya za barabarani kwa watu wenye ulemavu wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013. 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo toka kwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu, Bi. Lupi Maswanya wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Usalama barabarani ya Watu wenye Ulemavu (NCPDRS) na mbunifu wa alama za barabarani kwa watu wenye ulemavu ,Bw. Jutoram Kabatelle,kabla ya kuzindua rasmi alama mpya kwa watu wenye ulemavu wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013. 
   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wadau wa SHIVIWATA wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mabanda ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na watu wenye ulemavu wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 .PICHA NA IKULU.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongeza baada ya kupokea risala toka kwa Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIRYAWATA) akisoma risala kwa kutumia Braille huku mkalimani wa lugha ya alama akifanya kazi hiyo (kulia) katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 akiwa  mgeni rasmi kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani.

MADIWANI WA MANISPAA YA MUSOMA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO MKOANI RUKWA, WATEMBELEA MAKUMBUSHO NDOGO YA MKOA YALIYOPO KATIKA JENGO LA OFISI YA MKUU WA MKOA HUO

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Albinus Mugonya akiwakaribisha Madiwani 12 wa Manispaa  ya Musoma (kulia) waliongozana na baadhi ya watumishi sita kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya. Msafara huo umefika Mkoani Rukwa kwa ziara ya kujifunza mambo mbalimbali ya kiuongozi kutoka kwa madiwani wenzao wa Manispaa ya Sumbawanga na Serikali ya Mkoa kwa ujumla.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Sumbawanga Sabas Katepa akiwatambulisha madiwani mbalimbali kutoka Manispaa ya Musoma Mkoani Mara walipofika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa kwa ajili ya utambulisho katika ziara yao ya mafunzo Mkoani Rukwa. 
Madiwani hao walipata fursa ya kutembelea ukumbi wa kurushia mawasiliano ya moja kwa moja (Video Conference) ambayo yanauwezo wa kuziunganisha ofisi mbalimbali za Serikali katika kikao kimoja. Pichani Mchambuzi wa mifumo ya Kompyuta Galus Ouma akitoa maelezo mafupi na namna mtandao huo unavyofanya kazi.
Madiwani hao walitembelea pia makumbusho ndogo ya Mkoa iliyopo katika jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa. Makumbusho hii imesimama kwa nguvu kubwa iliyowekwa na Mkuu wa Mkoa wa huo Injinia Stella Manyanya ambapo taarifa mbalimbali za kimkoa na taifa zinapatikana.
Baadhi ya tuzo mbalimbali ambazo Mkoa wa Rukwa umewahi kuzipata pia zinapatikana katika makumbusho hii.
Baadhi ya zana za asili ya jamii ya watu wa Rukwa zinapatikana katika makumbusho hii. 
Picha za Wakuu wa Mikoa waliowahi kuungoza Mkoa wa Rukwa tangu ulipoanzishwa mwaka 1974 zinapatikana katika makumbushi hii.
Picha ya Pamoja.
(Na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa @Rukwareview.blogspot.com)

Singapore yaonyesha nia kubwa kuimarisha uwekezaji Tanzania

Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Bi. Juliet Kairuki (kushoto) na Mkurugenzi wa Mashariki ya Kati na Afrika wa Singapore(kulia) wakitia saini makubaliano ya kubadilishana taarifa za kiuwekezaji baina ya nchi hizo mbili jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni Mwanasheria mwandamizi wa kituo Bwana Alex Mnyani na na Naibu Mwenyeketi IE Singapore Co-operation Entreprise.
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Bi. Juliet Kairuki (kushoto) akibadilishana nyaraka na Mkurugenzi wa Mashariki ya Kati na Afrika wa Singapore(kulia) muda mfupi baada ya kuliana saini makubaliano ya kubadilishana taarifa za kiuwekezaji baina ya nchi hizo mbili jijini Dar es Salaam jana. Anayeshudia katikati ni Naibu Mwenyeketi IE Singapore Co-operation Entreprise.

Kampuni toka nchini Singapore zimeonyesha nia kubwa ya kuimarisha uwekezaji katika sekta mbalimbali nchini zikwemo raslimali za gesi na mafuta ambazo zinapatikana nchini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bi. Juliet Kairuki aliwaambia waandishi wa habari kuwa tayari kuna kampuni toka nchi hizo zilizokwisha nunua hisa kwenye vitalu vya mafuta na gesi asilia.

Alikuwa akiongea baada ya hafla fupi ya kutiliana saini ya makubaliano kati ya TIC na IE Singapore Cooperation Enterprises toka nchi hiyo jana jijini Dar es Salaam.

“Tayari wengine wamesha nunua hisa kwenye uwekezaji wa mafuta na gesi asilia,” alisema.

Makubaliano hayo yanahusisha kubadilishana taarifa za uwekezaji kati ya Tanzania na Singapore kwa faida ya nchi zote mbili.

Makubaliano hayo kati ya TIC na kituo hicho toka nchini Singapore yalishuhudiwa pia kampuni nne toka nchi hiyo ambazo zimekuja nchini kuangalia mazingira ya uwekezaji nchini ili waweze kuanza kufuata taratibu za kuwekeza katika maeneo mbalimbali.

“Wamekuja kuangalia vivutio ambavyo Tanzania inatoa ikiwemo vya uhamiaji, kodi, vibari vya wageni kufanya kazi nchini, na ardhi kwa ajili ya uwekezaji,” alisema.

Aliongeza kusema kuwa mahusiano hayo yatasaidia kuendelea kuboresha maswala ya uwekezaji na kufanya biashara pamoja na hiyo itawavutia wawekezaji wengi kutoka nchi hiyo kuja nchini.

Alisistiza kwamba Serikali inavutia wawekezaji ili kupanua wigo wa kodi ili mapato ya nchi yaweze kuongezeka kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya nchi ambayo inachangia maendeleo.

“Kituo kipo tayari kusaidia kupitia taratibu zake kuhamasisha na kuvutia uwekezaji zaidi nchini,” alisema.

Naibu Mwenyekiti, IE Singapore Cooperation Enterprises, Bw. Seah Moon Ming alisema ujio wao nchini Tanzania unalenga kuimarisha ushirikiano kati ya nchi yao na Tanzania katika nyanja za uwekezaji na biashara.
“Tunataka kubadilishana taarifa za kibiashara na uwekezaji kati ya nchi zetu ili kuleta maendeleo yetu sote,” aliongeza kusema Bw. Moon Ming.

Alisema baadhi ya makampuni yaliyofika yana ujuzi mkubwa katika maswala ya gesi asilia na mafuta.

Aliongeza kusema kuwa maeneo mengine ambayo wanapenda kuwekeza ni pamoja na sekta ya kilimo, mawasiliano, habari na teknolojia (TEHAMA) na mwaswala ya mipango miji.

Kampuni zilizokuja ni pamoja na Pavilion Energy, Temasek Holdings, na Singapore Cooperation Enterprise (SCE).

Tanzania’s Telecom Sector Bolstered with Entry of New Operator

The telecom industry in Tanzania and East Africa has today been bolstered with the entry of a unique, straight forward, innovative, socially responsible and maverick telecom like no other, launching without a name.

With its underlining promise being to raise the bar for subscribers, the new telecom launched simultaneously in Tanzania, Uganda and Burundi with a creative online and SMS campaign dubbed “Give Us a Name” giving East Africa the opportunity to nominate and vote for the best name.

This first East African telecom that truly cares and is not afraid to trust the people is a telecom like no other; or any company for that matter. No company across the world has ever launched without a name setting the stage for what will be an exciting 10 day campaign before the brand is finally unveiled.

The “Give us a Name” campaign will run from Monday 25th November, 2013 to 4th December, 2013 online, on SMS and on Facebook in two phases. In phase one, Tanzania and all East Africa is being asked to nominate names they would like the new telecom that will champion New Africa to have.

You can nominate your name through logging on to www.giveusaname.net , sending an SMS with your preferred name to the short code 15678 or logging on to www.facebook.com/giveusanameafrica .

 In phase two of the campaign, panel will review all the names and shortlist the top 5 most nominated, unique or creative names. East Africa will now have to vote for the best name that will eventually become the name of the first ever truly East African telecom.

The ultimate winner, the individual who nominates the name that will eventually become the company brand and trading name will win 1-year free unlimited national call SIM card. Other rewards include smartphones and tablets for participants in the “Give us a Name”campaign.

In the spirit of new Africa, the brand Ambassador for the campaign will be celebrated comedian Hemedi Khalida “Mkwere” who has demonstrated in his line of work that he represents and stands for the reality of “Mizengwe” which is everyday gaining momentum.

With experts forecasting an upswing in Tanzania’s annual GDP growth from the current 4% to 7% in 2015, the telecommunications sector is poised for extended expansion and growth in the coming years and this new telecom represents the face of this boom.

The new telecom aims to be the real catalyst for change in Tanzania and East Africa, truly cares and gives and isn’t afraid to trust the people by investing money and technology in the country.  

Tanzania remains one of a handful of countries with mobile penetration rate of less than 50% as of June 2013 and at around 50%, the total teledensity is still below the African average.

This new telecommunications company will most importantly reinvest the majority of every shilling spent by subscribers on SMS, calls and the internet into long term development of Tanzania with technology such as telemedicine and e-learning centres. 

This translates to reinvesting the majority of profits into New Africa and with increasing subscribers for both mobile and fixed line sectors, the best gift is a telecom that will re-energize the anticipated healthy growth rates in the coming years.

The “Give us a Name” campaign will end on 4th December, 2013 after which Tanzanians will get an opportunity to book their preferred numbers ahead of the announcement and unveiling of the new brand name and company in Tanzania and across East Africa.

The telecom is set to unveil some of its signature products soon and it is envisaged that East Africa will be transformed by this new telecom operator that is a caregiver, a global citizen, and is focused on impacting people's lives by being global-thinkers.

Monday, December 2, 2013

UWT ZANZIBAR YAFANYA MKUTANO NA WANDISHI WA HABARI OFISI KUU YA CCM KISIWANDUI ZANZIBAR

Naibu Katibu Mkuu wa UWT Zanzibar Bi. Salama Abuud Talib akimkaribisha Makamu Mwenyekiti UWT Bi. Asha Bakari Makame kuzungumza na wandishi wa Habari kuhusu miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa upande wa Jumuiya hiyo.
Makamu Mwenyekiti UWT Bi. Asha Bakari Makame akizunguza na wandishi wa Habari kuhusu miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Chuchu Fm Radio Rahama Suleiman akitaka ufafanuzi wa kitu kwenye Mkutano wa UWT ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

Na Ali Issa Maelezo-Zanzibar 2/12/2013

Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania (UWT) umesema vikundi vingi vya ushirika vya kina mama vimesaidiwa  fedha nyingi za mikopo kujiendesha lakini inaonekana bado kuna baadhi ya kinamama wanashindwa kuviendesha vikundi hivyo kutokana na kutokuwa na dira nzuri kuviendeleza vikundi hivyo.

Hayo yamesemwa leo huko ofisi kuu ya Chama cha Mapinduzi Kisiwandui Mjini Zanzibar na Naibu Katibu Mkuu wa UWT Zanzibar Salama Aboud Talib wakati alipokuwa na mazungumzo na waandishi wa Habari katika kuadhimisha sherehe za miaka 50 ya mapinduzi Zanzibar kwa Jumuiya ya wanawake wa CCM Zanzibar.

Amesema umoja wa wanawake Tanzania  kupitia wake wa viongozi wa kuu wa Serikali na tasisi nyengine wametoa  pesa nyingi katika kusaidia vikundi vya kinamama ili kujikwamua na umasini na kuviendeleza vikundi vyao kupata tija jambo ambalo baadhi ya viongozi  wa vikundi hivyo hushindwa kuviendeleza na hatimae kutofikia malengo ya kuazishwa kwake.

Amesema hali hiyo si njema kwani inarudisha nyuma juhudi za viongozi jambo ambalo lengo la chama cha Mapinduzi ni kuijenga jamii ya wanawake kua na muelekeo mzuri kimaendeleo na kujinasua na umasikini.

“Wake waviongozi wetu huwapa pesa nyingi wana vikundi  kuwasaidia wanawake   lakini vikundi hivyo hushindwa kuziendeleza pesa zile na baadae kikundi huwa kina shindwa kujiendeshana pesa kupotea,” alisema Salama.

Aidha alifahamisha kuwa wanashindwa kufahamu kupotea kwa pesa hizo kwani amesema kabla ya kutolewa peasa hizo vikundi hupatiwa mafunzo kutoka kwa wataalamu ili waweze kuviendesha.

Bi.Salama alisema hali hiyo haifurahishi hata kidogo kuona pesa zinapotea na vikundi kufa na italazimika kwa wanavikundi kutafuta mbinu mbadala badala ya zile za kitalamu ili kuona vikundi vina piga hatukubwa za kimaendeleo.

Nae Makamo mwenyekiti UWT Bi. Asha Bakari Makame alisikitishwa sana na suala la unyanyasaji kwa watoto na wanawake na kuishauri Serikali iangalie kwa umakini suala hilo kwani inaonekana kuna mtandao mkubwa wa kuwadhalilisha watoto kwa kuwanajisi hali ambayo ni hatari katika taifa hili la Zanzibar.

Amesema Serikali iangalie sheria zake na kuzifanyia marekebisho kwani watoto wanaharibiwa vibaya na watuhumiwa kushindwa kuingia hatiani jambo ambalo sisahihi kwa watoto kudhalilishwa kwa kunajiwa na kutengwa na wazaziwao. 

Makamo huyo alisifu juhudi za Jumuiya hiyo inazochukua kwa kua karibu na wana nchi kupitia Serikali kuu kwa kufuata ilani ya chama cha Mapinduzi.

Alisema hivi sasa wanawake wa Zanzibar wamefaidika sana na Jumuiya hiyo kwa kupata frusa katika ngazi za Sekikali na kuweza pia kupata elimu na ajira kwa idadi ya wanawake ambayo ni wazi kuwa wanwake wa Zanibar wanathaminiwa sana na serikali yao.


Bi.Asha Bakari alizipongeza Serikali zilizo pita,Viongozi wa Afroshirazi na hii ilioko madarakani kwa kuyaendeleza Mapinduzi matukufu yalio mkomboa mwanamke kutoka katika utwala wakisultani na 1964 kua Taifa  huru,lenye  Umoja amani na mshikamano.