Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua
rasmi alama mpya za barabarani kwa watu wenye ulemavu wakati wa sherehe
ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo toka kwa Mwenyekiti wa Shirikisho
la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu, Bi. Lupi Maswanya wakati wa sherehe ya
Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini
Dar es salaam leo Novemba 3, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mwenyekiti
wa Kamati ya Taifa ya Usalama barabarani ya Watu wenye Ulemavu (NCPDRS)
na mbunifu wa alama za barabarani kwa watu wenye ulemavu ,Bw. Jutoram
Kabatelle,kabla ya kuzindua rasmi alama mpya kwa watu wenye ulemavu
wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja
vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wadau
wa SHIVIWATA wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mabanda ya shughuli mbalimbali
zinazofanywa na watu wenye ulemavu wakati wa sherehe ya Siku ya Watu
Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
salaam leo Novemba 3, 2013 .PICHA NA IKULU.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipongeza baada ya kupokea risala toka kwa
Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu
(SHIRYAWATA) akisoma risala kwa kutumia Braille huku mkalimani wa lugha
ya alama akifanya kazi hiyo (kulia) katika viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe
ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini
Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 akiwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya
Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Makamu Mwenyekiti wa
Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIRYAWATA) akiwa na Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi pamoja na Mwenyekiti wa
(SHIVWATA) baada ya kuhutubia katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es salaam leo Novemba 3, 2013 kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye
Ulemavu Duniani
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa cheti kwa Bw. Frederick Msigallah wa
CCBRT katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3,
2013 kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi hati mwakilishi na Mtangazaji wa
ITV i katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3,
2013 kwenye sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpa cheti kwa niaba ya TBC Mtangazaji mahiri
wa stesheni hiyo ya Taifa Bi. Amina Mollel katika viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kwenye sherehe ya Siku ya
Watu Wenye Ulemavu Duniani.PICHA NA IKULU.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Dkt Hussein Mwinyi alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es salaam leo Novemba 3, 2013 kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya Siku
ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
Makamu
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA)
Bw. Amon Anastaz akisoma risala kwa kutumia braille katika viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kwenye sherehe ya
Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipongeza baada ya kupokea risala toka kwa
Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu
(SHIRYAWATA) akisoma risala kwa kutumia Braille huku mkalimani wa lugha
ya alama akifanya kazi hiyo (kulia) katika viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013 kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe
ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani
No comments:
Post a Comment