Sunday, January 6, 2019

RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA OFISI YA ZURA ZANZIBARRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la msingi Jengo Jipya litakalokuwa na Ghorofa Saba la Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar(ZURA)Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi mbalimbali wakilitembelea Jengo Jipya litakalokuwa na Ghorofa Saba la Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar(ZURA)baada ya kuliwekea jiwe la Msingi Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
-Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Ali Khalil Mirza akisoma risala katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo Jipya litakalokuwa na Ghorofa Saba la Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar(ZURA)Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati Salama Aboud Talib akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo Jipya litakalokuwa na Ghorofa Saba la Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar(ZURA)Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Jengo jipya litakalokuwa na Ghorofa Saba la Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar(ZURA)lililowekwa jiwe la msingi na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar(ZURA)waliohudhuria katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo Jipya litakalokuwa na Ghorofa Saba la mamlaka hio Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments: