Saturday, December 1, 2018

MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) YAFANA

 

Makamu Mkuu wa chuo Kikuu Ardhi, Profesa Evaristo Liwa akimkaribisha Mkuu wa Chuo, Mhe Cleopa David Msuya kuhudhurisha mahafali ya 12 ya chuo Kikuu Ardhi yaliyfanyika jijini Dar es Salaam Disemba 1. 2018. Kulia ni Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Cho, Balozi Costa Kahalu na viongozi waandamizi wa ARU. (Imeandaliwa na Robert Okanda)
Bendi ya polisi ikitumbuiza wakati wa mahafali hayo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Chuo, Balozi Costa Mahalu akitoa hotuba yake wakati wa kuhudhurisha mahafali ya 12 ya chuo Kikuu Ardhi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam Disemba 1. 2018. Jumla ya wahitimu 974 wa shahada mbalimbali walitunukiwa stahili zao.Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi, Mhe. Cleopa David Msuya akimtunuku Samweli Sanga Digrii ya uzamivu (Doctor of Philosophy) ya ARU wakati wa kuhudhurisha mahafali ya 12 ya chuo Kikuu Ardhi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam Disemba 1. 2018. Kulia ni Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Chuo, Balozi Costa Mahalu na Makamu Mkuu wa ARU, Profesa Evaristo Liwa. Jumla ya wahitimu 974 wa shahada mbalimbali walitunukiwa stahili zao.
Sehemu ya wahadhiri waandamizi wa Chuo Kikuu Ardhi wakifuatilia mahafali hayo.
Sehemu ya wahitimu wakifurahia baada ya kutunukiwa stahili zao.

Sehemu ya wahitimu wakifurahia baada ya kutunukiwa stahili zao.

Sehemu ya wageni na ndugu wa wahitimu wakifuatilia matukio katika mahafali hayo.

Sehemu ya wahitimu wakifurahia baada ya kutunukiwa stahili zao. 

No comments: