Thursday, September 27, 2018

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA WARSHA YA WANAJIOSAYANSI. JIJINI DODOMA.Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa mwananjiolojia, Batwenge Chakutema kuhusu vifaa mbaIimbali vinavyotumika katika utafiti na upimaji madini wakati alipofungua Warsha ya Jumuiya ya Wanajiosayansi Tanzania (Tanzania Geological Society – TGS) kwenye hoteli ya New Dodoma, Septemba 27, 2018 .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Warsha ya Jumuiya ya Wanajiosayansi Tanzania (Tanzania Geological Society – TGS) kwenye hoteli ya New Dodoma, Septemba 27, 2018 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia zawadi ya kinyago cha njiwa wawili kilichotokana na jiwe wakati alifungua Warsha ya Jumuiya ya Wanajiosayansi Tanzania (Tanzania Geological Society – TGS) kwenye hoteli ya New Dodoma, Septemba 27, 2018 . Kushoto ni Waziri wa Nishati, Angela Kairuki na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Warsha ya Jumuiya ya Wanajiosayansi Tanzania (Tanzania Geological Society – TGS) kwenye hoteli ya New Dodoma, Septemba 27, 2018 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: