Tuesday, May 22, 2018

TAASISI YA HUMANITY ACTION FOR CHILDREN FOUNDATION YATOA VIFAA KWA WALEMAVU

 Mwanzilishi wa Taasisi ya Humanity Action For Children Foundation, Rahma Mohamed Abdalah akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa kwa makundi ya watu wenye ulemavu kwa mkoa wa Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Taasisi ya  Humanity Action For Children Foundation, Rashid Mchujucko akizungumza mara baada ya kukabidhi Vifaa kwa makundi ya watu wenye ulemavu wa mkoa wa Dar es Salaam.

Mjumbe wa Bodi wa Taasisi ya  Humanity Action For Children Foundation, Haji Janguo akikabidhi Magongo ya kutembelea kwa watu wenye ulemavu wa viungo  wa mkoa wa Dar es Salaam kwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Sabrina Semsimba  huku wajumbe wengine wakishuhudia 
 Msanii wa filamu nchini , Faiza Ally akizungumza juu ya umuhimu wa kujitolea kwa watu wenye mahitaji maalum hili kuleta usawa katika jamii.
 Mwanzilishi wa Tasisi ya Humanity  Action For Children Foundation , Rahma Mohamed Abdalah  akimvesha Kofia Mmoja ya Watoto wenye Albinism waliopata msada wa kibaiskeli cha kutembelea

 Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Wilaya ya Kinondoni , Sabrina Semsimba akishukuru mara baada ya kupokea Vifaa kwa ajili wenyeulemavu wa Viungo
 Mmoja ya Walemavu wa Macho akitoa neno la shukrani kwa ajili ya Tasisi ya Humanity  Action For Children Foundation
Baadhi ya Walemavu wa Macho wakifurahi mara baada ya kukabidhiwa Fimbo za kutembelea na Tasisi ya Humanity  Action For Children Foundation

No comments: