Wednesday, April 25, 2018

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YATEMBELEA SOKO KUU LA KIBAIGWA

 Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakipatiwa maelezo na  Meneja wa Soko la Kibaigwa Ndg. kusekwa Dalali wakati wa ziara yake ya kutembelea soko hilo kuangalia changamoto katika soko hilo lililopo Wilayani Kibaigwa Mkoani Dodoma
 Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakimsikiliza fundi Mitambi wa soko la Kibaigwa  Ndg. Omary Salmin wakati wa ziara yake ya kutembelea soko hilo wilayani Kibaigwa Mkoani Dodoma..
Makamu Mwenyekiti kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (LAAC), Mheshimiwa Mwanne Nchemba (katikati) akizungumza na Wajumbe wa kamati hiyo, Viongozi kutoka Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) na Viongozi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya kibaigwa leo kikao kilichofanyika Wilayani kibaigwa Mkoani Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Josephat kandege na Mkurugenzi Mkuu wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA), Ndg. Stephen. Ruvuga (kulia). PICHA NA OFISI YA BUNGE

No comments: