Katibu
Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China
hapa nchini Tanzania Wang Ke ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Gari la Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke likiwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Balozi
wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke akishuka kutoka kwenye gari baada
ya kuwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es
Salaam, leo. Kushoto ni Ofisa Itifaki katika Idara ya Siasa na Uhusiano
wa Kimataifa ya CCM Frank Uhahula. Katikati ni Kansela wa Ubalozi wa
China hapa nchini Dai Xu.
Balozi Wang Ke baada ya kushuka kutoka kwenye gari lake. Katikati ni Kansela wa Ubalozi wa China hapa nchini Dai Xu
Ofisa
Itifaki katikia Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ya CCM Frank
Uhahula akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke
alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es
Salaam, leo. Katikati ni Kansela wa Ubalozi wa China hapa nchini Dai Xu
Uhahula akimwelekeza Balozi huyo kwenda Ofisini kukutana na Komredi Kinana
Uhahula akiwa na Balozi Wang Ke wakati wakienda ofisini kwa Komredi Kinana.
Balozi Wang Ke na Uhahula wakikaribia kufika ofisini kwa Komredi Kinana
Katibu
Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa China
hapa nchini Tanzania Wang Ke ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Katibu Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akimkaribisha kuketi Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Katibu
Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China
hapa nchini Tanzania Wang Ke ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Mazungumzo yakiendelea
Katibu
Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akimsindikiza mgeni wake, Balozi
wa China
hapa nchini Tanzania Wang Ke baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake,
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. kushoto ni Katibu wa NEC
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.
Katibu
Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa China
hapa nchini Tanzania Wang Ke baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
"Byeee"
Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke, akimuaga Katibu Mkuu wa
CCM Komredi Kinana wakati akiwa tayari kuondoka Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Saslaam, leo. Kulia ni Katibu wa NEC
ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.
Gari
la Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke likiwa tayari kuondoka
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
"Byeeee, Karibu tena" Katibu
Mkuu wa CCM Komredi Kinana akimpungia mkono Balozi wa China
hapa nchini Tanzania Wang Ke ofisini kwake, Balozi huyo alipokuwa
akiondoka Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu wa NEC ya CCM
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga na kulia
ni Stephen Msami ambaye ni Msaidizi wa Katibu Mkuu wa CCM. (PICHA ZOTE
NA BASHIR NKOROMO)
No comments:
Post a Comment