Wednesday, December 27, 2017

NI USIKU WA KUMEREMETA JUMA NA MKEWE FLORA

 Bwana harusi, Juma katika pozi na mkwe Frola baada ya kufunga pingu za maisha na kufatiwa na tafrija katika ukumbi wa Makonde Kuringe Hall,  Dar es Salaam  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

 Bwana harusi Juma (kulia) akiwa katika pozi na mpambe wake JacobBiharusi Flora (kushoto) akipozi na mpambe wake Mariam kabla ya kuingia ukumbini
Bwana haruzi Juma katika pozi akifurahia jambo wakati wa hafla fupi ya kupongezwa na mkewake Flora katika Ukumbi wa Makonde Kuringe Hall,  Dar es Salaam 
Bi harusi Mtarajiwa Flora akipambwa na mpambaji maarufu Sanura Beauty Artist
Mpambe wa Bi harusi Mtarajiwa Mariam akipambwa na mpambaji maarufu Sanura Beauty Artist




Bi harusi katika pozi
Bi harusi akiwa na mpambe wake katika pozi
Mnaniona katika pozi



Bi harusi Flora akilidaka ua baada ya kulirush juuBi harusi katika pozi kabla ya kuingia ukumbini



Mc na mtaalamu wa mapambo na chalula akiweka mambo sawa kabla ya kuingia maharusi na wageni waalikwa

Asante mume kunipokea UA pokea na wewe
Mama wa biharusi mtarajiwa (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya wana familia kabla ya kuingia ukumbiniWazazi wa Bwana harusi wakiingia ndani ya ukumbi kwa madaha wakiiongoza familia yao
Wazazi wa Bwana harusi wakiipokea familia ya Bi harusi wakati walipokuwa wakiingi ndani ya ukumbi wa Makonde Kuringe Hall,  Dar es Salaam
Familia ya Biharusi ikiingia ukumbiniBwana na Bi harusi wakiingi ndani ya ukumbi
Bwana na Bi harusi wakiingi ndani ya ukumbi wakiwa na nyuso za  furaha mara baada ya kufunga ndoaMwenyekiti wa nguvu wa Shughuli hiyo ya hafla fupi ya kuwapongeza maharusi, Monica Hillary Doe akizungumza jambo  kwa waalikwa

Bwana harusi Juma na Mkewe Flora wakinyweshana ShampeniBwana harusi na Mkewe katikati wakigonganisha glas na wapambeBwana harusi na mkewe wakikata keki
Bwana harusi Juma akimlisha mkewake Flora kipande cha kekiBi harusi Flora akiwakabidhi keki wazazi wa Bwana harusiBwana harusi Juma akiwakabidhi keki wazazi wa Bi harusi


Mama wa bwana harusi katika picha ya pamoja na marafiki zake

Wazzi wa Bwana harusiWazazi wa Biharusi






No comments: