Friday, December 15, 2017

NAIBU WAZIRI AWESO ATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI TANGA UWASA

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akisalimiana na Afisa Rasilimali watu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa),Haika Ndalama mara baada ya kuwasili kwa ajili ya ziara ya kuitembelea mamlaka hiyo.

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akisalimiana na Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorrah Killo mara baada ya kuwasili kwa ajili ya ziara ya kuitembelea mamlaka hiyo kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Mhandisi Phares Aram.
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso kulia akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Phares Aram wakiingia kwenye ukumbi wa mikutano wa mamlaka hiyo kwa ajili ya kumpatia taarifa wakati wa ziara yake.
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akizungumza wakati wa ziara hiyo kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi anayefuatia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Phares Aram.
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Phares Aram akizungumza wakati wa ziara hiyo.
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akizungumza na watumishi wa mamlaka hiyo
Afisa Rasilimali watu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa),Haika Ndalama akizungumza wakati wa ziara hiyo wa Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso
Sehemu ya watumishi wa mamlaka hiyo wakifuatilia nasaha za Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso.

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Mamlaka hiyo.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso kulia akisisitiza jambo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga,Phares Aram wakati alipotembelea mradi wa mfumo wa uboreshaji wa Maji 
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso katikati akimsikiliza kwa umakini Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga,Phares Aram wakati alipotembelea mradi wa mfumo wa uboreshaji wa Maji.
Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorrah Killo akimueleza jambo kwenye ziara hiyo ya Naibu Waziri.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akichimba mtaro katika eneo la Mikanjuni Jijini Tanga wakati alipotembelea mradi wa mfumo wa uboreshaji wa Maji 
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akichimba mtaro katika eneo la Mikanjuni Jijini Tanga wakati alipotembelea mradi wa mfumo wa uboreshaji wa Maji 
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akitoa mchanga kwenye mtaro huo mara baada ya kuuchimba na sururu wakati wa ziara yake ya kutembelea mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) 
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga,Phares Aram akichimba mtaro huo katikati anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso 


No comments: