Mkuu
wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akipanga tofali kwenye msingi wa
ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi ya wanafunzi
wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe Jijini Tanga
ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia
ujenzi wa vyumba hivyo
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart
kulia akijenga tofati katika vyumba vipya vitatu vya madarasa kwenye
shule ya Msingi ya
ya
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe Jijini
Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya
kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya
Tanga,Thobias Mwilapwa
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart
kulia akiweka tofati katika vyumba vipya vitatu vya madarasa kwenye
shule ya Msingi ya
ya
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe Jijini
Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya
kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya
Tanga,Thobias Mwilapwa
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart
kulia akiweka sawa tofati katika msingi wa moja ya vyumba vipya vitatu
vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya ya
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe Jijini
Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya
kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart
kulia akimuelekeza jambo mmoja wa wakandarasi watakaojenga vyumba vitatu
vya madarasa katika shule ya
wanafunzi wenye maahitaji maalumu ikiwemo wasiona na wenye ulemavu wa
ngozi (Albino) ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement
imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart
kulia akiweka sawa tofati katika msingi wa moja ya vyumba vipya vitatu
vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya ya
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) ya Pongwe Jijini Tanga ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
Mkuu
wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza katika halfa hiyo
iliyofanyika leo kwenye shule ya Msingi Pongwe Jijini Tanga
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi huo leo
|
Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Pongwe Yahaya Mafita mara baada ya kutoa hotuba fupi katika uzinduzi huo leo ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo ambapo aliishukuru kampuni hiyo kwa kuthamini juhudi za
kuinua elimu
Diwani wa Kata ya Pongwe(CCM),Mbaraka Sadi akizungumza katika uzinduzi huo ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo
Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor Mtanga akizungumza katika uzinduzi huo leo kwenye shule ya Msingi Pongwe ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo
|
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart
kushoto akipongezwa na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Pongwe Yahaya
Mafita mara baada ya kutoa hotuba fupi katika uzinduzi huo leo ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart
katikati akifuatilia uzinduzi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa kwenye
shule hiyo uliofanywa leo na Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa
kushoto ni Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor Mtanga
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
No comments:
Post a Comment