Wednesday, November 22, 2017

WAZIRI MWIJAGE AWATAHADHARISHA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOWAKWAMISHA WAWEKEZAJI

Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Jengo la usambazaji wa Vifaa vya ujenzi na Saruji linalojengwa na umoja wa Wafanyabiashara wa Kichina Barani Afrika CNBM kwa thamani ya Dola za kimarekani Bilioni 56  Katika Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Jijini Dar es Salaam

 Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Charles Mwijage akiongoza zoezi la uwekaji wa mchanga katika sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi katika Uzinduzi wa ujenzi wa eneo la Uuzaji wa Vifaa vya Ujenzi katika kutoka kwa umoja wa Wafnyabiashara wa kichina Afrika CNBM
 Balozi wa Serikali ya China ya China nchini Tanzania , Ke Wang akihutubia  wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi kwa jengo la uuuzaji wa bidhaa za ujenzi kutoka kwa umoja wa Wafanyabiashara wa kichina nchini CNBM
 Mwenyekiti wa bodi ya Umoja wa Wafanyabiashara wa kichina , CNBM GROUP COLTD, Dr Zhiping Song  akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuweka jiwe la Msingi
 Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote ,Hemendra Raithatha  akitoa salam za Kiwanda chake juu ya jengo hilo la usamabazji wa Vifaa vya Ujenzi .

 Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Charles Mwijage akiasaini katika ubao wa wageni 
 Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Charles Mwijage, akiteta jambo na Balozi wa China,Ke Wang mara baada ya kumaliza kuweka jiwe la Msingi
 Baadhi ya Wananchi walioshiriki katika Zoezi la uwekajiwa jiwe la Msingi
 Baadhi ya Wafanyabiashara wa kichina waliohudhuria katika zoezi hilo la uwekaji wa jiwe la Msingi
 Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Charles Mwijage akiwa katika picha ya Pamoja na Wanachama cha Mapinduzi waliohudhuria uzinduzi huo

No comments: