Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya
NBC, Filbert Mponzi (katikati) akisaini mkataba wa ushirikiano katika ya NBC na
Kampuni ya Bima ya Sanlam, jijini Dar es Salaam wiki iliyopita. Kulia kwake ni Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Tanzania, Manasseh Kawoloka na kushoto kwake ni
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman.
Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za
kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa zake ndani ya matawi ya NBC nchini
kote Waliosisima kutoka kushoto ni, Meneja Uenezaji Biashara na Masoko
wa Sanlam General, Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya Bima wa NBC, Benjamin Nkaka
na Meneja Mkuu Bima Binafsi wa Sanlam Life, Wilson Mnzava.
Mkurugenzi wa Wateja
Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati) Ofisa Mtendaji Mkuu
wa Sanlam General Tanzania, Manasseh Kawoloka (kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya
Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman
(kulia), wakifurahi baada ya utiaji saini makubaliano ya ushirikiano. Wa
pili kutoka kushoto ni Meneja Uenezaji Biashara na Masoko wa Sanlam General,
Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya Bima wa NBC, Benjamin Nkaka na Meneja Mkuu Bima
Binafsi wa Sanlam Life, Wilson Mnzava.
Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki
pamoja na huduma za bima za bidhaa zake katika matawi ya NBC nchini kote
Mkurugenzi wa Wateja
Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati), akizungumza katika hafla ya
utiaji saini makubaliano ya ushirikiano katika ya benki hiyo na Kampuni ya Bima
ya Sanlam. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General, Manasseh Kawoloka
na kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam Life, Khamis Suleiman. Ushirikiano
kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki pamoja na
huduma za bima za bidhaa zake katika matawi ya NBC nchini kote.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Kampuni ya Bima ya Sanlam General, Manasseh Kawoloka (kushoto), akisaini
mkataba wa ushirikiano katika ya NBC na Sanlam. Katikati ni Mkurugenzi wa
Wateja Binafsi wa NBC, Filbert Mponzi na kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam
Sanlam Life Insurance, Khamis Suleiman.
Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za
kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa zake katika matawi ya NBC nchini
kote
Mkurugenzi wa Wateja
Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati) Ofisa Mtendaji Mkuu
wa Sanlam General Tanzania, Manasseh Kawoloka (kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya
Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman
(kulia), wakifurahi baada ya utiaji saini makubaliano ya ushirikiano. Wa
pili kutoka kushoto ni Meneja Uenezaji Biashara na Masoko wa Sanlam General,
Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya Bima wa NBC, Benjamin Nkaka na Meneja Mkuu Bima
Binafsi wa Sanlam Life, Wilson Mnzava.
Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki
pamoja na huduma za bima za bidhaa zake katika matawi ya NBC nchini kote
Ni furaha tu baada ya
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati) Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Tanzania, Manasseh Kawoloka (kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya
Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman
(kulia), kusaini mkataba wa ushirikiano.
Wa pili kutoka kushoto ni Meneja Uenezaji Biashara na Masoko wa Sanlam
General, Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya Bima wa NBC, Benjamin Nkaka na Meneja
Mkuu Bima Binafsi wa Sanlam Life, Wilson Mnzava. Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma
za kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa zake katika matawi ya NBC nchini
kote.
Mkurugenzi wa Wateja
Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati) akisaini mkataba wa
ushirikiano katika ya benki hiyo na Kampuni ya Bima ya Sanlam, jijini Dar es
Salaam. Kulia kwake ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Tanzania,
Manasseh Kawokol na kushoto kwake ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya
Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman. Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha
wateja kupata huduma za kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa zake ndani
ya matawi ya NBC nchini kote Waliosisima kutoka kushoto ni, Meneja
Uenezaji Biashara na Masoko wa Sanlam General, Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya
Bima wa NBC, Benjamin Nkaka na Meneja Mkuu Bima Binafsi wa Sanlam Life, Wilson
Mnzava.
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi
(katikati) Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Tanzania, Manasseh
Kawoloka (kushoto) na Ofisa Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman (kulia), wakipiga picha baada ya kutia
saini mkataba wa ushirikiano. Wa pili kushoto ni Meneja Uenezaji
Biashara na Masoko wa Sanlam General, Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya Bima wa
NBC, Benjamin Nkaka na Meneja Mkuu Bima Binafsi wa Sanlam Life, Wilson Mnzava. Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam
utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa
zake katika matawi ya NBC nchini kote.
No comments:
Post a Comment