Thursday, October 19, 2017

Ziara ya ​Waziri wa Mambo ya Nje wa Ireland CIARAN CANNON jijini Mwanza

BW/ YASSIN ALLY,MKURUGENZI WA KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE NA WASICHANA LA KIVULINI AKITOA TAARIFA YA AWAMU YA PILI YA PROGRAM YA KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA WILAYANI MISUNGWI.
 WANAHARAKATI.
 MOJA YA KIKUNDI ZIKITUMBWIZA KATIKA HAFLA HIYO.
 WANAHARAKATI.
 BAADHI YA WANAFUNZI AMBAO NI WANAHARAKATI WA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA.
 MHE. JOHN MONGELA,MKUU WA MKOA MWANZA, AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MJI WA MISUNGWI KOANI MWANZA WAKATI WA UZINDUZI WA AWAMU YA PILI YA PROGRAM YAKUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA,DHIDI YA WANAWAKE NA WASICHANA WALAYANI MISUNGWI.
 CIARAN CANNON,WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA MAENDELEO YAKIMATAIFA WA JAMUHURI YA IRELAND,AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MJI WA MISUNGWI KOANI MWANZA WAKATI WA UZINDUZI WA AWAMU YA PILI YA PROGRAM YAKUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA,DHIDI YA WANAWAKE NA WASICHANA WALAYANI MISUNGWI.
 WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA MAENDELEO YA KIMATAIFA WA JAMHURI YA IRELAND CIARAN CANNON AKIZINDUA AWAMU YA PILI YA PROGRAM YA KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA WILAYANI MISUNGWI.
MHE. CIARAN CANNON,WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA MAENDELEO YAKIMATAIFA WA JAMUHURI YA IRELAND,KATIKATI NI RUAIRI DE BURCA,MKURUGENZI WA SHIRIKA MISAADA LA IRELAND,WA MWISHO PAUL SHERLOCK,BALOZI WANCHI YA  IRENLEND.
 WAZIRI CANNON AKIZUNGUMZA NA MAAFISA WA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO LA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA.
 WAZIRI CANNON AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA MKOA MWANZA MARA BAADA YA KUZINDUA PROGRAM HIYO.

WAZIRI CANNON AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WANAHARAKATI WA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJISIA WILAYANI MISUNGWI. PICHA NA ZEHANIA MANDIA WA MICHUZIBLOG

No comments: