Friday, October 13, 2017

WAZIRI MBARAWA ASISITIZA JUU YA KUWATUMIA WAANDISI VIJANA KATIKA MILADI MIKUBWA NCHINI

 Waziri wa  Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akizungumza na Wahandisi majengo wakati wa ufunguzi wa semina yao ya siku mbili katika ukumbi  wa Mlimani City Jijini  Dar es Salaam
 Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akikabidhi zawadi kwa Mwalimu wa shule ya Sekondari Royola , Venancy Robert mara baada ya kuibuka mshindi wa jumla kwa sekondari zote nchini
 Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akizungumza na Wahandisi majengo wakati wa ufunguzi wa semina yao ya siku mbili katika ukumbi  wa Mlimani City Jijini  Dar es Salaam
 Waziri wa  Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa ,  kwa mwanafunzi wa shule ya Sekondari Royola,Ashraf Raphael mara baada ya kuibuka bingwa wa kitaifa katika uandishi wa Insha
 Washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi,Prof Makame Mbarawa.
Waziri wa  Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa akiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa Insha za uandishi wa majengo
PICHA ZOTE NA HUMPHREY SHAO

No comments: