Mgeni
Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles
Kichere akilakiwa na Naibu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Taalum, Utafiti na
Ushauri, Dkt. Lewis Isemwi alipowasili kwa ufunguzi semina ya siku mbili
iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017. Katikati ni Mkurugenzi wa
Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo. (Imeandaliwa na
Robert Okanda Blogs)
Mkuu
wa Chuo cha Kodi, Profesa Jairo akiongea machache kabla kumkaribisha
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere (wa
tatu kushoto) kufungua semina ya siku mbili ya wahasibu na wakaguzi wa
Taasisi za umma iliyoanza Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017. Kutoka
(kushoto) ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Rasilimali watu, Dkt. Amos
Ibrahim, Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani Maswala ya Ufundi, Michael
Muhoja na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard
Kayombo.
Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere akiongea na
wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma iliyoanza Dar es Salaam leo
Oktoba 4, 2017. Kutoka (kulia) ni Naibu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Taalum,
Utafiti na Ushauri, Dkt. Lewis Isemwi, Mkuu wa Chuo cha Kodi, Profesa
Isaya Jairo, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi, Richard
Kayombo na Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani Maswala ya Ufundi, Michael
Muhoja.
Sehemu
ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni
Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles
Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam
leo Oktoba 4, 2017.
Baadhi
ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za serikali wakijisajili tayari
kushiriki katika semina ya siku mbili ya mafunzo ya kuongenzwa uelewa wa
maswala ya kodi jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 4 2017.
Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere (katikati)
akiwa katika picha ya pamoja watendaji waandamizi wa TRA, Chuo cha Kodi,
Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na washiriki wa semina hiyo
Mikocheni jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017.
Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere (kushoto)
akibadilishana mawazo na mmoja wa washiriki wa semina hiyo.
Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere (wa pili
kulia) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Chuo cha Kodi, Profesa Jairo
katika viwanja vya Chuo cha Kodi Mikocheni jijini Dar es Salaam alifanya
ufunguzi semina ya siku mbili kwa wahasibu wa wakaguzi wa Taasisi za
ummaa Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2017. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma na
Elimu kwa Mlipa Kodi, Richard Kayombo na Naibu Kamishna wa Kodi za
Ndani Maswala ya Kodi wa TRA, Michael Muhoja.
Sehemu
ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni
Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles
Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam
leo Oktoba 4, 2017.
Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere akiongea na
wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma iliyoanza Dar es Salaam leo
Oktoba 4, 2017. Kutoka (kulia) ni Naibu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Taalum,
Utafiti na Ushauri, Dkt. Lewis Isemwi, Mkuu wa Chuo cha Kodi, Profesa
Jairo, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi, Richard Kayombo na
Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani Maswala ya Ufundi, Michael Muhoja.
Sehemu
ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni
Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles
Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam
leo Oktoba 4, 2017.
Sehemu
ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni
Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles
Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam
leo Oktoba 4, 2017.
Sehemu
ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni
Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles
Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam
leo Oktoba 4, 2017.
Sehemu
ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni
Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles
Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam
leo Oktoba 4, 2017.
Sehemu
ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni
Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles
Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam
leo Oktoba 4, 2017.
Sehemu
ya wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma wakifuatilia hotuba ya mgeni
Rasmi, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles
Kichere wakati wa ufunguzi semina ya siku mbili iliyoanza Dar es Salaam
leo Oktoba 4, 2017.
Meneja
ukaguzi wa mahesabu ya kodi wa TRA, Beatus Mchota akitoa mada kwa
wahasibu na wakaguzi wa Taasisi za umma iliyoanza Dar es Salaam leo
Oktoba 4, 2017.
No comments:
Post a Comment