Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo
ya Watoto toka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Bi. Margaret Mussai akielezea jambo wakati wa kikao na Wahariri
wa Vyombo vya Habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa
Kike ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime,
Mkoani Mara. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali, Save
the Children Tanzania Bi. Jasminka Milovanic
Mkurugenzi wa Shirika lisilo la
Kiserikali, Save the Children Tanzania Bi. Jasminka Milovanic akifafanua
jambo wakati wa kikao na Wahariri wa Vyombo vya Habari jana jijini Dar
es Salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike
ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime, Mkoani
Mara. Kukulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Watoto toka
WizaraMaendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Margaret Mussai.
Afisa Habari wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya
Jamii) Bw. Anthony Ishengoma akisisitiza jambo wakati wa kikao na
Wahariri wa Vyombo vya Habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu
maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike ambayo kitaifa
inatarajiwa kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime, Mkoani Mara.
Mwakilishi kutoka asasi ya kiraia
ya CAMFED Bi. Theresia Moyo akielezea jambo mbele ya Wahariri wa Habari
(hawapo pichani) jana jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya Siku
ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika
tarehe 11 Oktoba Tarime, Mkoani Mara. Kutoka kulia ni Mwezeshaji wa
Kitaifa toka Taasisi ya Tanzania Girl Guides Bi. Emiliana Stanslaus na
Mwakilishi wa Room to Read Bi. Rachel Mbushi.
Mtaalam wa Haki za Watoto toka
Shirika lisilo la Kiserikali, Save the Children Tanzania Bi. Neema
Bwaira akisisitiza jambo wakati wa kikao na Wahariri wa Vyombo vya
Habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa
ya Mtoto wa Kike ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika tarehe 11 Oktoba
Tarime, Mkoani Mara. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Familia
toka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi.
Rose Minja.
Mhariri wa Habari kutoka kituo
cha televisheni cha Channel Ten Bibi. Esther Zelamula akichangia mada
wakati wa wa kikao na Wahariri wa Vyombo vya Habari jana jijini Dar es
Salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike ambayo
kitaifa inatarajiwa kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime, Mkoani Mara.
Na: Mpiga Picha Wetu.
No comments:
Post a Comment