Naibu
Waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stella
Manyanya afanya ziara yake ya kwanza ya kikazi akiwa Wizara ya Viwanda
kwa kutembelea kongano la ngozi na bidhaa za ngozi katika eneo la zuzu
Mkoani Dodoma.
Aidha
Mhe. Waziri amewaagiza watendaji wa wizara kufanya juhudi za haraka za
uendelezwaji wa eneo hilo kwa hakuna sababu ya kuchelewa ambapo mhe.
Naibu waziri ametoa muda wa miaka miwili hilo eneo liwe limeanza
kuwekewa miundombinu na huduma nyingine.
Pia
mhe. Waziri ametembelea eneo la SIDO lililotengwa kwa ajili ya kongano
la alizeti ambapo pia amewaagiza watendaji kufanya juhudi za haraka
kuharakisha mchakato wa uendelezwaji wa eneo hilo, Mhe. Naibu waziri
alihitimisha ziara yake kwa kutembelea ofisi za SIDO na kutembelea
ajasiliamali walioko chini ya SIDO na kujionea shughuli za ujasiriamali
zinazofanywa katika eneo hilo.
Mhe.
Naibu waziri ataendelea na ziara ya kutembelea taasisi zilizo chini ya
wizara kuanzia wiki ijayo na kujionea utendaji wa kila taasisi.
Darasa maalumu la mafunzo ya uzalishaji na utengezaji wa bidhaa za ngozi lililopo Kizota, mkoani Dodoma.
Naibu waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stellah Manyanya akishuhudia bidhaa mbalimbali zinazotengezwa na wanafunzi wanaojifunza utengezaji wa bidhaa za ngozi pembeni ni ndugu. Stephano Ndunguru, meneja wa mafunzo SIDO, Dodoma.
baadhi ya bidhaa za ngozi zinazotengezwa na wanafunji wanaojifunza utengezaji wa bidhaa za ngozi.
Naibu waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stellah Manyanya akizungumza na watendaji wa SIDO, Dodoma.
Naibu waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stellah Manyanya akiangalia bidhaa zinazotengezwa na wajasiriamali wa SIDO.
baadhi ya bidhaa za wajasiriamali wa SIDO, Dodoma.
Naibu waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stellah Manyanya akichomelea alipowatembelea wajasiriamali wa vyuma SIDO, Dodoma.
Naibu waziri, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stellah Manyanya akikagua eneo maalumu kwa ajili ya kongano la ngozi, Zuzu mkoani Dodoma.

No comments:
Post a Comment