Wafanyakazi
wa Azania Bank tawi la Moshi wakikata keki kwa pamoja kwa ajili ya
kushiriki na Wateja wao ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa
Wateja inayoendelea.
Wafanyakazi
wa Azania Bank tawi la Moshi wakiwa katika muonekano tofauti ikiwa ni
sehemu ya Maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani.
Mfanyakazi
wa Azania Bank ,tawi la Moshi ,Aida Mbilinyi akimuelekeza jambo mteja
wa Benki hiyo Ibrahim Shoo alipofika katika tawi hilo kwa ajili ya
kupata huduma.
Mfanyakazi
wa Azania Bank,tawi la Moshi,Asifiwe Musa akiwa ni mwenye tabasamu
wakati akitoa huduma kwa mmoja wa wateja wa Benki hiyo waliofika kupata
huduma.
Mfanyakazi
wa Azania Bank,tawi la Moshi,Diana Ngaiza akimhudumia mmoja wa wateja
wa Benki hiyo waliofika kwa ajili ya kupatiwa Huduma za kibenki.
Baadhi ya Wateja wakipata Huduma katika madirisha ya Huduma ndani ya Benki hiyo.
Meneja
wa Azania Bank tawi la Moshi ,Bi Hajira Mmambe akiwalisha keki baadhi
ya Wateja waliofika kupata huduma katika Benki hiyo.
Wafanyaazi wa Azania Bank tawi la Moshi wakiwa katika picha ya pamoja nje ya jingo la Benki hiyo
Ofisi za Benki ya Azania ,tawi la Moshi .
Keki
Maalumu iliyoandaliwa na Azania Bank tawi la Moshi kwa ajili ya Wateja
wa Benki hiyo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja
Duniani.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment