Mwakilishi
wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Zanzibar Dkt Ghirmay Andemichael
akitoa maelezo ya Shirika hilo kwenye warsha ya siku tatu ya kuimarisha
kanuni za kupambana na matumizi ya tumbaku inayofanyika Hoteli ya Golden
Tulip Malindi Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi
Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Jamala Adam Taib akifungua warsha ya
kuimarisha kanuni za mapambano ya matumizi ya bidhaa zinazotokana na
tumbaku katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Zanzibar.
Dkt.
William Maina kutoka WHOAFRO akitoa maelezo ya Azimio la WHO na sheria
za kimataifa dhidi ya mapambano ya matumizi ya bidhaa zinazotokana na
tumbaku katika warsha ya kuimarisha kanuni za mapambano hayo katika
Hoteli ya Golden Tulip Malindi.
Baadhi
ya washiriki wa warsha ya kumiarisha mikakati ya kanuni za kupiga vita
matumizi ya tumbaku inayofanyika Hoteli ya GoldenTulip Malindi Mjini
Zanzibar.
Picha
ya pamoja ya mgeni rasmi na washiriki wa warsha ya kuimarisha mikakati
ya kupiga vita matumizi ya tumbaku inayofanyika Hoteli ya Goden Tulip
Malindi Mjini Zanzibar.Picha na Makame Mshenga.
1 comment:
Publicar más que genial, gracias amable
spot7.org
Post a Comment