Mstahiki
Meya wa Jiji la Tanga (CCM) Alhaji Mustapha Selebosi ambaye pia ni
Diwani wa Kata ya Nguvumali akizungumza kwenye kikao cha kawaida cha
Baraza la Madiwani kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji
akipitia kabrasha kushoto ni Naibu Meya wa Jiji hilo,Mohamed Haniu
ambapo Meya huyo aliwataka madiwani kuheshimu taratibu za vikao.
Mkurugenzi
wa Jiji la Tanga,Daudi Mayeji akizungumza wakati wa kikao hicho kushoto
ni Mstahiki Meya wa Jiji hilo,Alhaj Mustapha Selebosi na kulia ni Mkuu
wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa .
Naibu
Meya wa Jiji la Tanga,Mohamed Haniu akizungumza wakati wa kikao hicho
kulia ni Mstahiki Meya wa Jiji hilo(CCM) Alhaj Mustapha Selebosi kushoto
ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku .
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku
Waheshimiwa madiwani kutoka kata mbalimbali wakifuatilia hoja mbalimbali kwenye kikao hicho
Wataalamu kutoka idara mbalimbali katika Halamshauri ya Jiji la Tanga wakifuatilia kwa umakini kikao hicho
Wakuu wa Idara mbalimbali wakifuatilia kwa umakini katika kikao hicho katika ni Mchumi wa Jiji la Tanga,Ramadhani Posi
Waheshimiwaa madiwani wakifuatilia kikao hicho kulia ni diwani wa kata ya Central Khalid Mohamed
Waheshimiwaa madiwani wakifuatilia kikao hicho.
Meneja wa kituo cha TV cha Halmashauri ya Jiji la Tanga (TATV) Mussa Labani akifuatilia mijadala mbalimbali kwenye kikao hicho.
Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku katikati akifuatilia
taarifa mbalimbali kwenye kikao hicho kulia ni Naibu Meya wa Jiji la
Tanga (CUF) Mohamed Haniu kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya
Tanga,Kassim Mbuguni.
Waandishi
wa Habari kutoka Vyombo mbalimbali wakifuatilia kikao hicho kulia ni
Dege Masoli wa Nipashe Tanga,Mbaruku Yusuph wa Tanzania Daima
kushoto,Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
No comments:
Post a Comment