Mhifadhi
katika hifadhi ya Taifa ya Tarangire Beatrice Ntambi akizungumza na
waandishi wa chama cha waandishi mkoani Arusha(APC)waliokwenda
kutembelea hifadhi hiyo kwa lengo la kujifunza na kutangaza utalii wa
ndani
Sehemu ya waandishi wa habari wakisikiliza kwa makiniMratibu wa Arusha Press Club Seif Mangwangi akiorodhesha majina ya waandishi wanaoingia katika hifadhi ya Tarangire katika ziara ya mafunzo pamoja na kutangaza utalii wa ndani
Picha ikionyesha fuvu la mnyama aina ya Tembo
Sehemu ya makundi makubwa ya tembo wanaopatikana katika hifadhi ya Taifa ya Tarangire
Twiga wakionekana vizuri katika hifadhi ya Tarangire
Tembo wakizunguka ndani ya hifadhi ya Tarangire
Katika
hifadhi hii utakuta aina ya miti mikubwa ya mibuyu inayosadikika
kuishi mamia ama maelfu ya miaka ambayo pia ni kivutio kikubwa katika
hifadhi ya Tarangire
Wanahabari wakichukua taswira katika hifadhi ya Tarangire
Wanahabari wakichukua Selfiee kabla ya kuanza safari keelekea kujionea vivutio ndani ya hifadhi ya Tarangire
Makundi ya Tembo yakiwa katika hifadhi ya Tarangire
Baadhi
ya wanachama wa Arusha Press Club wakiwa katika picha ya pamoja katika
lango la kuingilia katika hifadhi ya Taifa Tarangire.(Habari Picha na
Pamela Mollel,Arusha)
No comments:
Post a Comment