Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akizungumza jambo
wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima
Kilimanjaro.
Kaimu
Mkurugenzi wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Mtango
Mtahiko akimueleza jambo Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi
Ramo Makani wakati wa kikao cha uwasilishaji wa taarifa ya Hifadhi ya
Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA).
Mkuu
wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro(KINAPA) Betrita Loibook pamoja
na Mhifadhi Ikolojia KINAPA,Iman Kikoti wakifanya maandalizi kwa ajili
ya kuwasilisha taarifa ya Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA).
Mkuu
wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibook
akifanya uwasilishaji wa taarifa kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Mlima
Kilimanjaro kwa Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani.
Madiwani
kutoka kata mbalimbali za jimbo la Vunjo pamoja na Mbunge wa jimbo la
Vunjo,James Mbatia pia wameshiriki katika kikao hicho kilichofanyika
makao makuu ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro.
Naibu
Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makini akifuatilia kwa
makini uwasilishaji wa taarifa ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro
(KINAPA) uliokuwa ukifanywa na Mkuu wa Hifadhi hiyo Betrita Loibook.
Mkuu
wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Betrita Loibook akitoa
ufafanuzi wa mambo kadhaa yaliyoulizwa wakati wa uwasilishaji wa taarifa
ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro(KINAPA).
Kaimu
Mkurugenzi wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadi za Taifa (TANAPA) Mtango
Mtahiko akitoa ufafanuzi na majawabu ya maswali yaliyoibuka wakati wa
uwasilishaji wa taarifa ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro
(KINAPA).
Mbunge wa Jimbo la Vunjo,James Mbatia ,akichangia jambo katika kikao hicho .
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Kippi Warioba akichangia jambo katika kikao hicho.
Mhifadi
Ujirani Mwema katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilmanjaro (KINAPA)
Hobokela akieleza namna ambavyo Hifadhi ya Taifa ya Mlima
Kilimanjaro(KINAPA) inavyoshughulikia changamoto za wananchi wanaosihi
kando ya hifadhi hiyo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment