Friday, August 4, 2017

MSIGWA ATOA SOMO LA KUTAMBUA BIDHAA FEKI ZA NISHATI JADIDIFU NCHINI.

  Mjumbe wa bodi ya Terea Godwin Msigwa  akitoa somo juu ya kutambua bidhaa feki  za nishati Jadidifu ambazo zinaingizwa nchini kwa njia za panya na kusababisha kupotea kwa fedha na kuleta athari kubwa katika uchumi wetu.
  Mjumbe wa bodi ya Terea Godwin Msigwa , Akionyesha moja Solar Panel ambayo imetengenezwa chini ya kiwango na kusababishia hasara wananchi wengi katika soko
 Waandishi  walioshirikikatika mafunzo hayo,Vicky Kimaro na Asha Bani  wakifatilia somo juu ya kutambua bidhaa feki za Nishati Jadidifu.
 Muwezeshaji kutoka Tanzania Media Foundation Dustun Kamanzi akizungumza na Waandishi wa habari walioshiriki katika mafunzo ya uandishi Nishati Jadidifu.
 Waandishi  walioshirikikatika mafunzo hayo wakitazama moja ya bidhaa feki ya Nishati Jadidifu ambayo ilikwisha ingia sokoni.
 Waandishi  walioshirikikatika mafunzo hayo wakitazama moja ya bidhaa feki ya Nishati Jadidifu ambayo ilikwisha ingia sokoni

No comments: