Askari
wa ulinzi binafsi wa Suma Jkt Guard wakila kiapo cha uaminifu mbele ya
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini
(TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu
Naibu
Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini
(TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu akizungumza na askari wa
ulinzi binafsi wa kampuni ya Suma JKT wakati alipokuwa akifunga mafunzo
ya sita kwa askari wapya wa kampuni hiyo iliyopo chini ya Jeshi la
Kujenga Taifa(JKT). na kuwaasa kuwa mabalozi wazuri katika mapambano ya
rushwa katika kazi yao na hasa katika ofisi watakazopangiw akufanya kazi
Mkurugenzi
wa kampuni ya Ulinzi ya Suma Jkt Guard Limited, Meja Alfred Mwaijande
akizungumza kabla ya kukamribisha mgeni rasmi kwa ajili ya kufunga
mafunzo ya askari wa kundila sita wa Suma jkt
Kaimu
Mkuu wa chuo cha Uongozi JKT Kimbiji .Meja Josephat Songita akizungumza
wakati wa kufunga mafunzo ya askari wa Suma Jkt Guard kundi la Sita
Mkuu
wa kitengo cha Operesheni na Mafunzo wa Suma Jkt Guard ,Luteni Albert
Masawe akizunguma namna mafunzo hayo yalivyoendeshwa kwa mgeni rasmi
Askari wa Jeshi la Kujenga taifa akipiga ngoma wakati akiongoza gwaride la askari wa Suma Jkt Guard
Askari wa kundi la sita wanaomaliza mafunzo ya ulinzi binafsi kundi lasita la Suma Jkt Guard wakipita kwa mwendo w aukakamavu
Askari
wa ulinzi binafsi wa Suma Jkt Guard wakionyesha umahiri wao wa kuchez
amchezo wa Karate mbele ya mgeni rasmi Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi
ya Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu
wakionyesha
umahiri wao wa kuchez amchezo wa Karate mbele ya mgeni rasmi Naibu
Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini
(TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini
(TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu akiwasili katika uwanja wa
kufunga kozi
Naibu
Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini
(TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu akiwa katika picha ya pamoja
na askari wa ulinzi binafsi wanaomaliza mafunzo yao
No comments:
Post a Comment