Thursday, July 27, 2017

WAZIRI MAKAMBA AFANYA ZIARA KATIKA MTO MSIMBAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akimsikiliza msimamizi wa ujenzi kingo za Mto Msimbazi katika eneo la Ilala Bungoni Mhandisi Jovinalis Kamugisha toka Kampuni ya Dezo Civil Constructions wakati wa ziara ya Waziri huyo kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akikagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa kingo katika mto Msimbazi eneo la Ilala Bungoni wakati wa ziara yake ya kikazi kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.



Diwani wa Kata ya Ilala Mhe. Saady Khimji akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba maendeleo ya mradi wa ujenzi wa kingo katika mto Msimbazi eneo la Ilala Bungoni wakati wa ziara ya Waziri huyo kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.


Baadhi ya mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa kingo za mto Msimbazi katika eneo la Ilala Bungoni wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni barabara ya Barack Obama mapema hii leo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa kingo za mto Msimbazi eneo la Ilala Bungoni wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba akimsikiliza mfanyabiashara ya chakula (Mama Lishe) katika eneo la Ilala Bungoni alipokuwa katika ziara ya kikazi ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba (kushoto) akipata maelekezo toka kwa Mhandisi Frank Juvenily toka Kampuni ya Dezo Civil Constructions wakati wa ziara ya Waziri huyo ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba (kulia) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa, Shadrack Mwakalila wakati wa ziara ya Waziri huyo ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Profesa, Shadrack Mwakalila wakati wa ziara ya Waziri huyo ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.

Eneo la mradi wa ujenzi wa kingo katika Mto Msimbazi eneo la Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam.

Eneo la mradi wa ujenzi wa kingo katika bahari ya Hindi eneo la Barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam.
Eneo la mradi wa ujenzi wa kingo katika bahari ya Hindi eneo la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano Januari Makamba (kulia) akipata maelekezo toka kwa Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa kingo katika bahari ya Hindi eneo la Barabara ya Barack Obama Mhandisi Hillary Josiah toka Kampuni ya Dezo Civil Constructions wakati wa ziara ya Waziri huyo ya kukagua ujenzi wa kingo za Mto Msimbazi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni na barabara ya Barack Obama mapema hii leo.


Picha na Eliphace Marwa – Maelezo

No comments: