Tuesday, July 25, 2017

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA MAKAO MAKUU YA NCHI (DODOMA)

Mwonekano mwanana wa jengo la Ismailia Jamatini mjini Dodoma  kutoka barabara ya Hospitali ya Mkoa wa Dodoma.
Mnara ulioko katikati ya mji wa Dodoma unaokutanisha barabara  ya Dar es Salaam, Nyerere, Hospitali na Iringa pia makutano haya ni moja ya alama kuu za mji wa Dodoma.
Kibao kikionesha baadhi ya barabara kubwa zinazounganisha mji wa Dodoma 
Kipita shoto katikati ya mji wa Dodoma
Moja ya Mitaa ya Mji wa Dodoma.
Taswira ya Msikiti wa Sunni uliopo barabara ya Market mjini Dodoma 
Mwonekano wa Jengo jipya la Mfuko wa Pensheni wa LAPF
Shughuli mbalimbali zikiendelea pembezoni mwa makutano ya barabara ya Tembo na Mtendeni

Dereva wa Bodaboda akiwa kazini kwenye mtaa wa Mtendeni mjini Dodoma
Muuza mkaa akaikatiza mtaa wa Mtendeni mjini Dodoma akitafuta rizki 
Mwonekano wa jengo la  Pensheni wa LAPF karibu na stendi ya daladala zinazofanya kazi mjini humo.
Mwonekano wa barabara ya  Dar es Salaam pamoja na shughuli mbalimbali zikiendelea 
Wafanya biashara wakifanya biashara zao pembezoni mwa barabara ili kujipatia rizki

Mmoja wa 


No comments: