Sunday, July 23, 2017

TAMASHA KUBWA LA CASTLE LITE UNLOCKS LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

MSANII wa muziki wa Hip Hop ambae pia ni mtunzi na mtayarishaji wa muziki mahiri wa nchini Marekani, Nayvadius DeMun Wilburn maarufu kama Future akifanya shoo katika tamasha la Castle Lite Unlocks iliyofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Julai 23, 2017. PICHA ZOTE NA KAJUNASON BLOG/MMG/CATHBERT KAJUNA.
Msanii wa Kizazi Kipya Vannessa Mdee akiwaburudisha katika tamasha la Castle Lite Unlocks lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Vijana waliojitokeza katika tamasha la Castle Lite Unlocks lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Kila mmoja alikuwa na furaha.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz akiburudisha tamasha la Castle Lite Unlocks lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Wapenda Burudani kutoka nchini Zambia na Kenya ambao walipata udhamini wa bia ya Castle Lite wakifurahi katika tamasha la Castle Lite Unlocks lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Marafiki wanapokutana huwa wanashow love pamoja.
Nami pia mmilikiwa wa Kajunason Blog, Cathbert Angelo Kajuna (kulia) ambaye nimekuletea picha hizi, nikiwakilisha na mdau Alex.
Pia Mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Kajuna (kushoto) nikishow love na timu Zambia na Kenya walihudhuria tamasha la Castle Lite Unlocks lililofanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.


 Msanii Diamond Platinumz akiwa katika jukwaa la castle lite unlocks akiwakonga wapenzi wa burudani  usiku wa kuamkia leo

Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.
Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo
Msanii toka Afrika kusini Casper Nyovest akifanya mahojiano na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi pembeni yake usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha kubwa  la castle lite unlocks viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam

. Wasanii Nevy Kenzo wakizungumza na waandishi wa habari kwenye tamasha la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo 

. Msanii Diamond akizungumza na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi kabla ya kupanda kwenye jukwaa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo


 Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders 


 Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders 


Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders 
No comments: