Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya Tatu
Benjamin William Mkapa Chato mkoani Geita. Rais Mstaafu Mkapa katika siku ya
kesho anatarajiwa kukabidhi nyumba 50 za watumishi wa sekta ya Afya
zilizojengwa na Taasisi ya (Mkapa Foundation) katika mikoa ya Simiyu, Kagera na
Geita.

Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Japan hapa nchini
Masaharu Yoshida mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita. Balozi huyo wa
Japan katika siku ya kesho anatarajiwa kukabidhi mtambo wa kukamua Mafuta ya
Alizeti (Double Refine) uliojengwa Chato mkoani Geita kwa Msaada wa Serikali ya
Japan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha nyumbani kwake Rais mstaafu wa awamu ya Tatu
Benjamin William Mkapa Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa nyumbani kwake Chato mkoani Geita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais mstaafu wa awamu ya Tatu
Benjamin William Mkapa pamoja na wageni mbalimbali waliofika Chato kwa ajili ya
shughuli mbalimbali za kimaendeleo zinazotarajiwa kufanyika kesho.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita Josheph Kasheku Msukuma aliyefika
Chato pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Geita. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment