Friday, July 14, 2017

NMB YATETA JAMBO NA WALIMU KATIKA SIKU YA WALIMU MKOA WA DAR ES SALAAM

Meneja wa benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam ,Vicky Bishibo akizungumza na walimu wakati wa mkutano wa siku ya walimu katika mkoa wa Dar es Salaam na benki hiyo uliofanyika mapema leo Sinza,jijini Dar.
 Kaimu Katibu Mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini(TCU), Prof Eleuther Mwageni akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Walimu na Benki ya NMB wakati wa mkutano mkuu wa siku ya walimu na benki hiyo jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi Mkuu wa wateja wadogo wadogo na wakati wa NMB,Abdulmajid Nsekela akizungumza na walimu juu ya huduma mpya za NMB ambazo zinaweza kuwasaidia katika kujiongeza kipato na kulea familia kwa uraisi.
 Sehemu ya walimu walioshiriki mkutano huo ambao uliweza kuwakutanisha walimu kutoka Wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam.
 Meneja wa NMB kanda ya Dar es Salaam ,Vicky Bishibo akizungumza na walimu wakati wa mkutano wa siku ya walimu katika mkoa wa Dar es Salaam na benki hiyo uliofanyika Sinza
 Afisa Elimu na Vifaa Takwimu wa Wilaya ya Ubungo , Brayson Ephata  akitoa neno la Shukrani kwa mgeni rasmi mara baada ya kufungua mkutano wa NMB na siku ya Walimu mkoa wa Dar es Salaam
 Picha ya Meza kuu wakiwa wamesimama
  Sehemu ya walimu walioshiriki mkutano huo ambao uliweza kuwakutanisha kutoka Wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam
 Kaimu Katibu Mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Prof Eleuther Mwageni  akiondoka katika mkutano huo mara baada ya kufungua jijini Dar es Salaam leo

No comments: