Thursday, July 6, 2017

KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AKUTANA NA TIMU YA WATAALAMU KUTOKA BENKI YA DUNIA KUJADILI MASUALA YA WAKIMBIZI

 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza na timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi, waliofika wizarani kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi.Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza na timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi, waliofika wizarani kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi.Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke, akizungumza wakati wa kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira,baada ya  timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi kutembelea  wizara wakiwa na lengo la  kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi.Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Mratibu wa Mpango wa Kusaidia Wakimbizi na Nchi zinazohifadhi Wakimbizi,Dk.  John Jingu, akizungumza wakati wa kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira,baada ya  timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi kutembelea  wizara wakiwa na lengo la  kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi.Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akiagana na Naibu Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumuia Wakimbizi(UNHCR),Joan Allison baada ya  timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi kumaliza kikao  kilichojadili  masuala mbalimbali ya wakimbizi.Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara , jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira(watatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi, waliofika wizarani kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi.Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara , jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments: