Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)
Simon Sirro, akiwasili uwanja wa ndege kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere,
akitokea Nairobi nchini Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya
kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine
unaovuka mipaka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa
Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), kushoto ni kamishna wa Polisi Jamii
nchini (CP) Mussa Ali Mussa. Picha na
Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)
Simon Sirro, akizungumza na Kaimu
kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Lucas
Mkondya (wa kwanza kushoto), muda mfupi alipowasili nchini akitokea Nairobi nchini
Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa
kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka Majeshi
ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kwa nchi za Afrika
Mashariki (EAPCCO), kulia ni Kamishna wa Polisi Jamii nchini (CP) Mussa Ali
Mussa. Picha na Demetrius Njimbwi –
Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini (IGP) Simon Sirro (wa kwanza kulia), akifurahia jambo baada ya kuwasili
nchini akitokea Nairobi nchini Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya
kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine
unaovuka mipaka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa
Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), anayefuata ni Kamishna wa Polisi
Jamii nchini (CP) Mussa Ali Mussa na Kaimu kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es
salaam (DCP) Lucas Mkondya.
Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini (IGP) Simon Sirro(wa kwanza kulia),akitafakari jambo baada ya kuwasili
nchini akitokea Nairobi nchini Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya
kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine
unaovuka mipaka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa
Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), anayefuata ni Kamishna wa Polisi
Jamii nchini (CP) Mussa Ali Mussa na Kaimu kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es
salaam (DCP) Lucas Mkondya
Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini (IGP) Simon Sirro, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya makamanda
na washiriki kutoka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu
wa Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), waliohudhuria mafunzo ya kukabiliana na
matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka, mafunzo yaliyofanyika
katika chuo cha Jeshi la Ulinzi la Kenya kilichopo katika eneo la Embakasi,
jijini Nairobi
Baaadhi ya vikosi vya Jeshi
la Polisi kutoka nchi wanachama wa Shirikisho la Wakuu kwa Polisi wa nchi za
Afrika Mashariki (EAPCCO), walioshiriki katika mafunzo ya kujengewa uwezo wa
kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka, mafunzo
yaliyofanyika katika chuo cha Jeshi la Ulinzi la Kenya kilichopo katika eneo la
Embakasi, jijini Nairobi.
No comments:
Post a Comment