Saturday, June 24, 2017

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO June 24, 2017

Serikali imesema iko mbioni kuandaa mfumo mpya wa kuratibu na kusimamia uendelezaji miliki wa ardhi hapa nchini;  https://youtu.be/IKLRwSyergI

Serikali imesema itawachukulia hatua kali viongozi wa vyama vya ushirika watakaobainika kuvunja maadili wakati wa utekelezaji majukumu yao; https://youtu.be/yZPpxolVsQI

Serikali imefanikiwa kutatua tatizo la ardhi kwa wananchi wa Luafwe  katika wilaya ya Tanganyika mkoani Mpanda https://youtu.be/EwuOf5_K1Hk

Kituo cha haki za binadamu cha LHRC kimeipongeza serikali kwa hatua iliyochukua ya kulinda rasilimali za taifa la Tanzania; https://youtu.be/K5-O1-EhH0Y

Mufti wa Tanzania Sheikh  Aboubakar Zubeir  aipongeza kamati ya amani ya viongozi wa dini wa  Dar es Salaam kwa kudumisha ushirikiano; https://youtu.be/D-KK_8ixbLg

Tazama mahojiano maalum kutoka kwa msanii wa muziki wa HIP HOP Tanzania Roma akizungumzia changamoto za muziki wa Hip Hop hapa nchini; https://youtu.be/42Hex-bc6GE

Waziri Prof. Mbarawa awataka wadau wa sekta ya uchukuzi kufanya kazi kwa kuzingatia vigezo vya kimataifa; https://youtu.be/bQPS8T2bFY4

Wakala wa vipimo nchini inatarajia kupanua wigo wake wa kiutendaji katika kufanikisha lengo lake la kuhudumia kila sekta hapa nchini; https://youtu.be/ffWNWoi12ho

Wilaya ya Manyoni mkoani Singida imekuwa ya kwanza kutekeleza ahadi ya Rais ya kufungua duka la kuuza dawa maalumu. https://youtu.be/CopGG9pksOI

Serikali imesema itaanza kutoa vibali vya ajira mwezi ujao ili kuziba nafasi za watumishi waliofukuzwa kazi kwa kukutwa na vyeti feki; https://youtu.be/4bmRgPF2i-M

No comments: